Ila JF bwana!

Ishi maisha yako mkuu nimekuelewa una maana gani
 
Yani hizo ni rangi nne tu sasa naachaje kuzijua?

Na kwani hamkufundishwa kuchanganya rangi shuleni na kuzidescribe?

Mbona mnataka mambo marahisi yawe magumu 😅
Hata ningefundishwa nisingejua kitu...i know blue, yellow , black, white, green, red and pink basi, other colours don't click in my head..
 
Girls wengi wanaadmit kua wako above 30 mkuu, usiwaonee.

Zamani hata mimi nilikua naamini yanayoongelewa humu na kwakweli unaweza kujiona khanithi kama unapiga round 2, watu ni waongo aisee.

Kuna mwamba alichakata hadi msukule dadeki.
 
Hata ningefundishwa nisingejua kitu...i know blue, yellow , black, white, green, red and pink basi, other colours don't click in my head..
Hata hizo ukichanganywa kidogo tu utatoka kapa, labda ambayo huwezi toka kapa ni black & white.
Hizo sijui green, blue & yellow huwa zina marafiki wanaofanana fanafana kama wakina dark blue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…