Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
For sureHata hizo ukichanganywa kidogo tu utatoka kapa, labda ambayo huwezi toka kapa ni black & white.
Hizo sijui green, blue & yellow huwa zina marafiki wanaofanana fanafana kama wakina dark blue