Ila JF bwana!

Kwani wewe unatakaje? Acha ujuwaji kuwa unavyotaka.
 
Nimecheka kwa sauti sana 🀣 🀣 🀣
Kwanini hamuamini wanawake tupo JF na tunaweza kujipambanua kama nyie vidume tu.
Yameshawakuta humu. Kama umewahi kutafunwa mguu na nyoka, siku jaribu kupita kwenye kichaka halafu Jani likuguse, ndo utaelewa.
 
Na we unatakaje
Humu watu wana uhuru wa kupost wanachojisikia, ilimradi wasivunje Sheria za mtandao na Kuna ban humu Kama ukizingua.

Fanya yako mengine waachie moderator. Ni ushauri tu usikubali kuwa mpumbavu.
 
Humu watu wana uhuru wa kupost wanachojisikia, ilimradi wasivunje Sheria za mtandao na Kuna ban humu Kama ukizingua.

Fanya yako mengine waachie moderator. Ni ushauri tu usikubali kuwa mpumbavu.
Sawa bhana
 
Hata hizo ukichanganywa kidogo tu utatoka kapa, labda ambayo huwezi toka kapa ni black & white.
Hizo sijui green, blue & yellow huwa zina marafiki wanaofanana fanafana kama wakina dark blue
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ noma kuna siku nimeona rangi kama pink jamaa akasema sio pink ni mauve Yan mauve yenyewe ni rangi ? Mbona hatukufundishwa ? Hatari
 
🀣🀣🀣🀣
 
Hahahahaha
 

Nothing serious hapa mkuu, chukulia kama social media zingine tu unakuwepo maisha na muda uendeπŸ˜›πŸ˜›
 
Safi sana mi nilivyokuona unaongea peke yako nilijua utafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…