Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Hapo sasa 😅Hebu kapicha Kako na kanamba kasimu tukupigie live. Pia tutaku mix by yas
Hakika inachanganya hii usipokaa kitaalam inakuvuruga ubongoMi nashangaa kila mtu anasema yupo nje ya nchi na kila mtu ana uwezo wa kuingiza milioni moja kwa mwezi.
For sureHakika inachanganya hii usipokaa kitaalam inakuvuruga ubongo
Kila mtu humu ni jasusi. Watu wa vitengoKuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"
Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne😂
Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi
Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc
Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee😂
Well saidNilichokigundua humu Kuna team tatu
1. Wavamia nyuzi kukoment Hawa asilimia kubwa si wa kuwaamini ni wababishaji much know haswa wanaonifanya Kila kitu wanakijua ni wataalam wa kukosoa Kila jambo
.2. wapeda ku like na kupita kimya
Hawa wanalike either comments zitakazokuwa zimewavutia ama wengine watalike kuonesha sapoti wamepita
3. Wapita kimya kimya
Hawa wapi wengi wapita kimya watasoma nyuzi kmya kmya wateendelea na mambo yao.. Hawa baadhi yao wakivutiwa na mada ama komenti Yako watakuzamia pm kukuomba ufafanuzi ama maelekezo
Humu kumejaa Kila aina ya watu. Kuna mashoga, matapeli vibaka, watu wema, matajiri, jobless, majambazi, wasiojulikana, slay queens, gold diggers n.k so take care mazee
Mkuu hum Kuna uchafu mwingi imagine mtu anakufata pm anakuomba ushauri flani then anakutaka mhamie Whatsapp unampa namba then atakuchek halafu Hana hata Cha maana kukwambia atajichatisha wee then atakutumia picha ya uboo halafu huyo ni member kbs mashuhuri akiwa hapa jamviniWell said
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!Mkuu hum Kuna uchafu mwingi imagine mtu anakufata pm anakuomba ushauri flani then anakutaka mhamie Whatsapp unampa namba then atakuchek halafu Hana hata Cha maana kukwambia atajichatisha wee then atakutumia picha ya uboo halafu huyo ni member kbs mashuhuri akiwa hapa jamvini
Na anakupigia saa Tano za usiku anakwambia kaka fungua Whatsapp tuchatDuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!
Hehehe!Na anakupigia saa Tano za usiku anakwambia kaka fungua Whatsapp tuchat
Gasho, sauti nyororo kbsHehehe!
Sasa huyo ni bangi au
Dah! Na yuko humhumuGasho, sauti nyororo kbs
Tobaaaaaa!!!Mkuu hum Kuna uchafu mwingi imagine mtu anakufata pm anakuomba ushauri flani then anakutaka mhamie Whatsapp unampa namba then atakuchek halafu Hana hata Cha maana kukwambia atajichatisha wee then atakutumia picha ya uboo halafu huyo ni member kbs mashuhuri akiwa hapa jamvini