Ila JF bwana!

Ila JF bwana!

Nilichokigundua humu Kuna team tatu

1. Wavamia nyuzi kukoment Hawa asilimia kubwa si wa kuwaamini ni wababishaji much know haswa wanaonifanya Kila kitu wanakijua ni wataalam wa kukosoa Kila jambo

.2. wapeda ku like na kupita kimya
Hawa wanalike either comments zitakazokuwa zimewavutia ama wengine watalike kuonesha sapoti wamepita

3. Wapita kimya kimya
Hawa wapi wengi wapita kimya watasoma nyuzi kmya kmya wateendelea na mambo yao.. Hawa baadhi yao wakivutiwa na mada ama komenti Yako watakuzamia pm kukuomba ufafanuzi ama maelekezo

Humu kumejaa Kila aina ya watu. Kuna mashoga, matapeli vibaka, watu wema, matajiri, jobless, majambazi, wasiojulikana, slay queens, gold diggers n.k so take care mazee
 
Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"

Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne😂

Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi

Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc

Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee😂
Kila mtu humu ni jasusi. Watu wa vitengo
 
Nilichokigundua humu Kuna team tatu

1. Wavamia nyuzi kukoment Hawa asilimia kubwa si wa kuwaamini ni wababishaji much know haswa wanaonifanya Kila kitu wanakijua ni wataalam wa kukosoa Kila jambo

.2. wapeda ku like na kupita kimya
Hawa wanalike either comments zitakazokuwa zimewavutia ama wengine watalike kuonesha sapoti wamepita

3. Wapita kimya kimya
Hawa wapi wengi wapita kimya watasoma nyuzi kmya kmya wateendelea na mambo yao.. Hawa baadhi yao wakivutiwa na mada ama komenti Yako watakuzamia pm kukuomba ufafanuzi ama maelekezo

Humu kumejaa Kila aina ya watu. Kuna mashoga, matapeli vibaka, watu wema, matajiri, jobless, majambazi, wasiojulikana, slay queens, gold diggers n.k so take care mazee
Well said
 
Well said
Mkuu hum Kuna uchafu mwingi imagine mtu anakufata pm anakuomba ushauri flani then anakutaka mhamie Whatsapp unampa namba then atakuchek halafu Hana hata Cha maana kukwambia atajichatisha wee then atakutumia picha ya uboo halafu huyo ni member kbs mashuhuri akiwa hapa jamvini
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!
 
Mkuu hum Kuna uchafu mwingi imagine mtu anakufata pm anakuomba ushauri flani then anakutaka mhamie Whatsapp unampa namba then atakuchek halafu Hana hata Cha maana kukwambia atajichatisha wee then atakutumia picha ya uboo halafu huyo ni member kbs mashuhuri akiwa hapa jamvini
Tobaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom