Kweli bhana. Si unaona kwa Rais strong, kila anapoanza awamu vitu hupanda. Mfano sukari mwaka 2015 kabla hajaingia ilikuwa 1500/= leo inasoma 2800/= kwa kilo.Wanampenda kwasababu alikuwa rais dhaifu.
Kila mtu anaudhaifu wake lakini hakua katili wala muuajiChadema walimwita dhaifu, eti sasa hivi wanampenda
Kuna rafiki yangu kanichekesha juzi amekosa mihogo ya kukaanga kisa mafuta yamepanda inachemshwa tuKweli bhana. Si unaona kwa Rais strong, kila anapoanza awamu vitu hupanda. Mfano sukari mwaka 2015 kabla hajaingia ilikuwa 1500/= leo inasoma 2800/= kwa kilo...
Kila mtu anaudhaifu wake lakini hakua katili wala muuaji
Alikua Rais mwenye Baraka tele na watanzania tulikua tuna Hali nzuri kiuchumi
🤣Alikuwa Raisi wa watu na sio Raisi wa vitu.
Jiwe Ni rais wa SG, Flyover, na barabara mle,mteseke,mpate maafa,msiajiriwe,msipandishwe mishahara,mtekwe,mchapwe viboko, halimuhusu.
Nikikumbuka ya Dr Ulimboka naumia sanaKila mtu anaudhaifu wake lakini hakua katili wala muuaji
Alikua Rais mwenye Baraka tele na watanzania tulikua tuna Hali nzuri kiuchumi
Swahiba umenena! Kwema lakiniWanampenda kwasababu alikuwa rais dhaifu.
Eeh si ndio nyie mlisema jk ni muuaji na ndio alisababisha askari wakaua kwenye maandamano ya chadema 2011 kule arusha?Kila mtu anaudhaifu wake lakini hakua katili wala muuaji
Alikua Rais mwenye Baraka tele na watanzania tulikua tuna Hali nzuri kiuchumi
On top of that no mBinafsi sanaAlikuwa Raisi wa watu na sio Raisi wa vitu.
Jiwe Ni rais wa SG, Flyover, na barabara mle,mteseke,mpate maafa,msiajiriwe,msipandishwe mishahara,mtekwe,mchapwe viboko, halimuhusu.
Kupendwa ni jambo zuri sana regadless ya sababu. Kama wanampenda Watanzania basi ana bahati.Wanampenda kwasababu alikuwa rais dhaifu.
Alishindwa kutetea mkate wa mshuaWanampenda kwasababu alikuwa rais dhaifu.