handsomezombie
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 302
- 438
Bora huyo kuliko hili rejectChadema walimwita dhaifu, eti sasa hivi wanampenda
Dah... hivyo vitu wanatumia nyani? [emoji2960]Alikuwa Raisi wa watu na sio Raisi wa vitu.
Jiwe Ni rais wa SG, Flyover, na barabara mle,mteseke,mpate maafa,msiajiriwe,msipandishwe mishahara,mtekwe,mchapwe viboko, halimuhusu.
Wewe uko upande gani chief mbona km unateseka??Chadema walimwita dhaifu, eti sasa hivi wanampenda
Weweeee ni muongo hakuna shutuma kama hizo wakati wa utawala wa JK Pemba kwa muda wa miaka kumi hapajazikwa hata paka Achilia BinadamuEeh si ndio nyie mlisema jk ni muuaji na ndio alisababisha askari wakaua kwenye maandamano ya chadema 2011 kule arusha?
Mkaenda mbali mkasema ndio alitoa amri ya kulipuliwa bomu kule olasiti?
Mkamsema kaua watu kwenye uchaguzi igunga?
Mkamsema kampandisha cheo askari aliyemuua mwangosi.
Mkamsema katuma watu kwenye kumpiga risasi na kumuua Dr.mvungi
Dah... hivyo vitu wanatumia nyani? [emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna rafiki yangu kanichekesha juzi amekosa mihogo ya kukaanga kisa mafuta yamepanda inachemshwa tu
Hao uliowataja sasa hivi wako hai. Ikitajwa list ya huyu wa sasa ya ambao either wamekufa au hawajulikani walipo ni aibukuna dokta moja anaitwa dokta ULIMBOKA
huyu daktari alipata kichapo kutoka kwa TISS
alipotibiwa na kurud toka SA . HAKUONGEA TENA.
kilikua kipindo cha JK
JERRY MURO
pia nae alijifanya anaijua kazi yake
ya HABARI vizuri
nae vivyo hivyo kichapo na kesi
takukuru juu...
nae KIMYAAA
Sasa napoona hapa oh jk hakua mkorofi napata shida kidogo
watanzania wana kumbukumbu za mende..Hata magufuli akitoka akaja mwingine utakia bora Maguful alitujengea mabarabara na SgrJK huyu huyu au mwingine!?
Serious mzee....binafsi nilikosa sambusa za chai asubuhi...Kuna rafiki yangu kanichekesha juzi amekosa mihogo ya kukaanga kisa mafuta yamepanda inachemshwa tu