Ila JK ni mtu mmoja mjanja sana

Kuna muda huwa ninawashangaa Watanzania kwani kama kuna Rais ambaye aliiharibu Tanzania hii Kiuchumi na Kimaadili kwa 100% alikuwa JMK.
 
Mwandishi wa Habari MWANGOSI aliuawa yeye akiwa madarakani; Dr. Ulimboka nae alitekwa na wasiojulikana wakati wa mkwere!!!
Fake news
Wakati wa jakaya media ilikua huru sana hayo mambo tungesikia tu....
Kuna mambo ya uongo alikua anasingiziwa na aliyadharau tu
Anyways kama alivyosema yeye ninyi watu wengine mna chuki binafsi haswa ni Kwa sababu ya dini yake sasa hawezi kubadilishia dini ili umpende.......... utakufa na kesebu chako rohoni
 


Kama yeye anapendwa nani anayechukiwa??!
 
Jk alikua mjanja ndio, Alijua kukaa vizuri na wafanyabiashara wakubwa mpaka wachuuzi na hela zilinwangika kila mahali, Ngoma nzito iko kwa mkandarasi kila kada kuna namna ambavyo imebanwa.
 
JK aliulizwa na Bod Geldof kwa nini Tanzania ni masikini, akasema hajui kwa nini Tanzania ni masikini.
 
Acha fitina, unasema 'nyie" kwani hii thread imeandikwa na watu wangapi?
 
kiukweli hua nafikiria sana kama nisingepata ajira enzi za huyu mzee wetu kipenzi sijui ingekuwaje???
Hilo unaloliwaza mkuu nam!! Naliwaza hlo hlo...... Alaf ni late 15's...kuja 2016....daah cijui ningekua wap sahv!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…