Sisi (watumishi wa afya) ulikuwa unaingia kazini na begi limejaa dripu, dawa, vifaa tiba, nk na kujigeuza machinga...unamaliza shift una mijihela hadi kero, ukitoka kazini bodaboda anapata, muuza genge, mama wa grocery, nyumba mdogo, familia umejaza watoto hadi wa binamu na wengi above 18 wanakula tu!Kila mtu anaudhaifu wake lakini hakua katili wala muuaji
Alikua Rais mwenye Baraka tele na watanzania tulikua tuna Hali nzuri kiuchumi
na hii ndio iliwapa watu kiburi watu walikua na pesa nyingi wakawa wanajiona na wao wakubwa wakasahau kuwa jipu halizidi nywele hata livimbe vipi au nasema uongo ndugu zanguuuuuKila mtu anaudhaifu wake lakini hakua katili wala muuaji
Alikua Rais mwenye Baraka tele na watanzania tulikua tuna Hali nzuri kiuchumi
ivi mwinyi nae alishawahi kufanya mambo ya ajabukuna dokta moja anaitwa dokta ULIMBOKA
huyu daktari alipata kichapo kutoka kwa TISS
alipotibiwa na kurud toka SA . HAKUONGEA TENA.
juu ya kilichomkuta
kilikua kipindi cha JK
JERRY MURO
pia nae alijifanya anaijua kazi yake
ya HABARI vizuri
nae vivyo hivyo kichapo na kesi
takukuru juu...
nae KIMYAAA
Sasa napoona hapa oh jk hakua mkorofi napata shida kidogo
Fake news
Wakati wa jakaya media ilikua huru sana hayo mambo tungesikia tu....
Kuna mambo ya uongo alikua anasingiziwa na aliyadharau tu
Anyways kama alivyosema yeye ninyi watu wengine mna chuki binafsi haswa ni Kwa sababu ya dini yake sasa hawezi kubadilishia dini ili umpende.......... utakufa na kesebu chako rohoni
Hata majeshini kila sehemu, kazi tulikuwa tunaacha na kwenda sehemu nyingine.waalimu aliwamwagia ajira za mafuriko.
Yule profesa ujueLeo nimeamini kua JK ni mjanja sana,. Check response yake kwenye maswali aliyoulizwa na Salama Jabir.
Salama: Kwanini watu wanakupenda sana.
JK: Waulize haohao wanaonipenda mimi sijui bwana
Salama: Lakini unajua kuwa tunakupenda
JK: (Pause kidogo)... Najua kuwa hamnichukii
Ila JK wewe sawa tu leo hujui kua watanzania tunakupenda kweli? Ila sisi tutaendelea kukupenda tuu mzee wetu.
Mtu M-bad.Leo nimeamini kua JK ni mjanja sana,. Check response yake kwenye maswali aliyoulizwa na Salama Jabir.
Salama: Kwanini watu wanakupenda sana.
JK: Waulize haohao wanaonipenda mimi sijui bwana
Salama: Lakini unajua kuwa tunakupenda
JK: (Pause kidogo)... Najua kuwa hamnichukii
Ila JK wewe sawa tu leo hujui kua watanzania tunakupenda kweli? Ila sisi tutaendelea kukupenda tuu mzee wetu.
Upo? [emoji126][emoji1739]Wanampenda kwasababu alikuwa rais dhaifu.