Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Haiwezekani mwanadamu mwenye utu akanunua ambulence ya dizaini hii na kuzigawa vijijini, huu ni uuaji serikali ya awamu ya nne ilifanya.
Mara 100 JPM aliyejenga zahanati, vituo vya afya na hospitali kila kona, akaboresha hospitali za kanda zote.
Hizi ambulance za pikipiki ukipata dreva aliyenyoa kiduku wewe ni mortuary moja kwamoja bila kupepesa macho.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Daniel Ole Njoolay akijaribu ambulance(Pikipiki ya Miguu Mitatu) kwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Dr. Rajab Rutengwe.