Ila Kikwete alikuwa na dhambi sana

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Haiwezekani mwanadamu mwenye utu akanunua ambulence ya dizaini hii na kuzigawa vijijini, huu ni uuaji serikali ya awamu ya nne ilifanya.

Mara 100 JPM aliyejenga zahanati, vituo vya afya na hospitali kila kona, akaboresha hospitali za kanda zote.

Hizi ambulance za pikipiki ukipata dreva aliyenyoa kiduku wewe ni mortuary moja kwamoja bila kupepesa macho.


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Daniel Ole Njoolay akijaribu ambulance(Pikipiki ya Miguu Mitatu) kwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Dr. Rajab Rutengwe.
 
Sio dharau, huu ni ukweli, huwezi ukamdharau mwanadamu hivi.
Ila bajaji unapanda!?..mazingira ya kijijini unayajua!?..au unadhani Kuna barabara Kama za magomeni!?..kupata hiyo ambulance na kutopata kabisa ili mgonjwa apande tela la kuvutwa na ng'ombe,ipo Bora!?
 
Ila bajaji unapanda!?..mazingira ya kijijini unayajua!?..au unadhani Kuna barabara Kama za magomeni!?..kupata hiyo ambulance na kutopata kabisa ili mgonjwa apande tela la kuvutwa na ng'ombe,ipo Bora!?
Alichokifanya JPM ndiyo kilipaswa kifanyike sio huu mradi wa kuwahisha watu ahera.
 
😁Yani duniani nikadhani nimeona yote,hizi ambulenzi ziwekwe kwenye maajabu ya Dunia.
 
Usishangae kutajiwa bei yake ni million 40 au 50 yaani ufisadi wanaoufanya CCM siku ya mwisho mungu atawachoma Moto hawa watu na Sisi tutakua pembeni tunashangilia
 
Yule ni rais wa hovyo aliyewahi kutokea duniani. Hata akina Amin na Bokassa walikuwa bora kuliko yeye.
 
Hii nchi imepitia mengi sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…