Ila kuna watu wa ajabu hapa

Ila kuna watu wa ajabu hapa

GreenLight

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2023
Posts
300
Reaction score
542
Wakuu wazima nyie
Kuna jamaa humu ndani ananishangaza sana yaani yeye kila post ana dislike. Huyu jamaa anajiita sijui mdudu gani hapo. Kila uzi yeye reaction yake ni dislike tu. Huyu mwamba atakua iblis labda.

Jamaa anajiita Mdudu wa bunju

Ongezeni wenye tabia kama ya huyu mwamba mzee wa dislike
 
Back
Top Bottom