Ila kuna watu wa ajabu hapa

Ila kuna watu wa ajabu hapa

Wapi na wapi. Kanilima dislike kila nilipo reply ndio nikafikiria huyu jamaa ana shida gani. Kupitia nyuz kadhaa nikaona kumbe na wengine anawalamba dislike.
Acha upuuzi basi wewe dada. Nitafute umaarufu hapa nalipwa..?

Si ndio nakushangaa unatafuta umaarufu JF ili iweje?
Dislike nalo ni jambo la kuanzisha uzi kama sio kujipigia promo...Dislikes wewe zinakupunguzia nini katika maisha yako ya kila siku?
 
Back
Top Bottom