GreenLight
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 300
- 542
- Thread starter
-
- #81
Ana msongo wa mawazo sio bureHamna cha mrembo wala bro wote dislikes tu๐
Amekanusha mkuuNdio huyo huyo kumbe kuna uzi mwingine tena. Watu katutoa kwenye utulivu. Huwez mpatia mtu dislike 10 afu uwe mtu wa kawaida ana shida
AnasemajeAmekanusha mkuu
Sio yeyeAnasemaje
Labda kweliItakua ndo huyu huyu
KweliSidhani kama kuna haja ya kumuongelea, hii ni post ya tatu sasa naona inamuhusu yeye.
Anataka fame tu. Tunavyomuongelea ndio tunampa Sifa.
Moyo zidi vunjika!Wa mpige bann tu anatuvunja moyo