Ila Msigwa Sasa Documentary ya BBC kumuhusu Lissu na Maisha yake , nayo unaitolea Ufafanuzi ? Uwe unatumia Akili

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
HIi Documentary kihalisia imezungumzia Lissu na Madhira yake

Kwan ni uongo Lissu amekua anaharasiwa na Polisi?
Ni uongo Lissu amekua hakamatwi?
Ni uongo Lissu amekua anafunguliwa Kesi?
Ni uongo Lissu hakupigwa Risasi ili auwawe?.
Ni uongo Lissu amepewa Kesi ya Uhaini?
Ni uongo mpaka sasa Yuko Gerezani??.

Hivi wee Msigwa, unadhan hii Dunia ,utaishi Milele??
Kama kufa utakufa, na utaacha watoto ambao watashughulikiwa kwa Madhira ya Baba yao

Msigwa SIO Kila jambo la Kutolea Ufafanuzi.
 
nimechka sana baada ya kuona taarifa ya msigwa
 
Back
Top Bottom