Ila sio siri, Harris Kapiga wanakera!!

Nafikiri huyu jamaa anaroho ya kukataliwa
 
Haya ndo matatizo ya kushikiwa remote na shemeji yako
 
Usikariri Mkuu, unataka Habari isomwe na Presenter awe Mkakamavu kama Askari wa Mkoloni?

Mbona Kikeke anatumia Sana Gestures na watu hawasemi!?

Mimi Binafsi napenda Usomaji wa habari wa Kapiga, haumbani, unaweza hata kujikuna kidogo kichwani huku unawasirisha habari.
 
Kama kuna kufanana mawazo basi tunafanana,, ananiboaa mpaka naonaga Aibu kuangalia habari zake
 
haya bwana, we unashikiwa na mume mwenzio (km ni me) lakini watu tumekausha tu!
mtoto wa Kiume unakuja kuanzisha uzi JF kuwasema wanaume wenzio wanakera,wakat ishu ni simple tu humpend achana nae badili channel......acha umama!!
 
mtoto wa Kiume unakuja kuanzisha uzi JF kuwasema wanaume wenzio wanakera,wakat ishu ni simple tu humpend achana nae badili channel......acha umama!!
mtoto wa kiume unachamba kama isha mashauzi!
 
Habari hizi tulisha zijadili hapa Jf miaka ya 2011
Wadau wali thibitisha kuwa huyu jamaa ni Diko
 
Kapiga ndo mashauzi classic huku duniani hatupendi Mambo hayo
 
Kwani umejiskiaje?,au natumia sana dole la kati kuchamba kuliko kiganja? samahani km nimekuumiza!!
poa mammy, isiwe kesi......umeshinda. fungulia tu hiyo taarabu hadi sauti ya mwisho kwa raha zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…