- Thread starter
- #21
si wivu, ila natamani kuona wakifanya vizuri zaidi. ni mpenzi mno wa star tvAcha wivu
kilicho akilini kitumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si wivu, ila natamani kuona wakifanya vizuri zaidi. ni mpenzi mno wa star tvAcha wivu
kilicho akilini kitumie
ndo huyo sema ilikuwa haijathibitishwa badoHuyo aris kapiga ndio alitajwa kwenye ile orodha ya dudu baya kwamba ni mcheremchere, au sio huyo .
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana. yupo zaidi ya hawa?!!!!!Umewahi kukuona Jeff Koinange wa Citizen?.....HK laaaaaaaivuuuuuuuuu
basi aisome hadhira vizuri, aipatie inachohitaji atajikuta anapendwa tu na mashabikiNafikiri huyu jamaa anaroho ya kukataliwa
Haya ndo matatizo ya kushikiwa remote na shemeji yakoni huyu Machugu wa star tv na huyu kapiga wa clouds tv!
nakerekwa mno na tabia zao zifuatazo ambazo ambazo mi huwa naona hazina maana;
1. kujichekesha chekesha. muda wote wa habari wamekuwa ni wa kujilazimisha kuchekacheka na kutabasamu....huyu Kapiga ktk eneo hili ndo amezidi maana si kwa kuchekacheka vile,inazidi mpaka inakuwa kero.
2. vionjo vya kujitikisatikisa (gestures) kwa wingi. mara waangalie saa, mara warusherushe mikono, mara wapige salute.....inaboa kwakweli wakati mwingine.
3. kutoa maoni/kuongeza maneno baada ya habari. taarifa inaweza kuwa imewasilishwa vizuri tu na mhusika aliyopo field, lakini akishamaliza lazima wao watie vijineno vya hapa na pale wakati mwingine havina maana yoyote na vinapelekea kuondoa ladha iliyopatikana tayari.
waache/wapunguze bwana!
maoni yangu lakini, sina taaluma yoyote ile ya habari
haya bwana, we unashikiwa na mume mwenzio (km ni me) lakini watu tumekausha tu!Haya ndo matatizo ya kushikiwa remote na shemeji yako
Kama kuna kufanana mawazo basi tunafanana,, ananiboaa mpaka naonaga Aibu kuangalia habari zakeni huyu Machugu wa star tv na huyu kapiga wa clouds tv!
nakerekwa mno na tabia zao zifuatazo ambazo ambazo mi huwa naona hazina maana;
1. kujichekesha chekesha. muda wote wa habari wamekuwa ni wa kujilazimisha kuchekacheka na kutabasamu....huyu Kapiga ktk eneo hili ndo amezidi maana si kwa kuchekacheka vile,inazidi mpaka inakuwa kero.
2. vionjo vya kujitikisatikisa (gestures) kwa wingi. mara waangalie saa, mara warusherushe mikono, mara wapige salute.....inaboa kwakweli wakati mwingine.
3. kutoa maoni/kuongeza maneno baada ya habari. taarifa inaweza kuwa imewasilishwa vizuri tu na mhusika aliyopo field, lakini akishamaliza lazima wao watie vijineno vya hapa na pale wakati mwingine havina maana yoyote na vinapelekea kuondoa ladha iliyopatikana tayari.
waache/wapunguze bwana!
maoni yangu lakini, sina taaluma yoyote ile ya habari
mtoto wa Kiume unakuja kuanzisha uzi JF kuwasema wanaume wenzio wanakera,wakat ishu ni simple tu humpend achana nae badili channel......acha umama!!haya bwana, we unashikiwa na mume mwenzio (km ni me) lakini watu tumekausha tu!
Ahahahah.
mtoto wa kiume unachamba kama isha mashauzi!mtoto wa Kiume unakuja kuanzisha uzi JF kuwasema wanaume wenzio wanakera,wakat ishu ni simple tu humpend achana nae badili channel......acha umama!!
umeona ee?!!! mbwembwe zinahitajika lakini sio za kupitilizaKama kuna kufanana mawazo basi tunafanana,, ananiboaa mpaka naonaga Aibu kuangalia habari zake
Kwani umejiskiaje?,au natumia sana dole la kati kuchamba kuliko kiganja? samahani km nimekuumiza!!mtoto wa kiume unachamba kama isha mashauzi!
Kapiga ndo mashauzi classic huku duniani hatupendi Mambo hayoni huyu Machugu wa star tv na huyu kapiga wa clouds tv!
nakerekwa mno na tabia zao zifuatazo ambazo ambazo mi huwa naona hazina maana;
1. kujichekesha chekesha. muda wote wa habari wamekuwa ni wa kujilazimisha kuchekacheka na kutabasamu....huyu Kapiga ktk eneo hili ndo amezidi maana si kwa kuchekacheka vile,inazidi mpaka inakuwa kero.
2. vionjo vya kujitikisatikisa (gestures) kwa wingi. mara waangalie saa, mara warusherushe mikono, mara wapige salute.....inaboa kwakweli wakati mwingine.
3. kutoa maoni/kuongeza maneno baada ya habari. taarifa inaweza kuwa imewasilishwa vizuri tu na mhusika aliyopo field, lakini akishamaliza lazima wao watie vijineno vya hapa na pale wakati mwingine havina maana yoyote na vinapelekea kuondoa ladha iliyopatikana tayari.
waache/wapunguze bwana!
maoni yangu lakini, sina taaluma yoyote ile ya habari
poa mammy, isiwe kesi......umeshinda. fungulia tu hiyo taarabu hadi sauti ya mwisho kwa raha zakoKwani umejiskiaje?,au natumia sana dole la kati kuchamba kuliko kiganja? samahani km nimekuumiza!!