Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah I'm just jokingHahaha.!
Nitembee na milonjo na huku kwa mkoa wenu jua linakochoma kama injili.? Tell me you're joking..!
Somebody said its natureIla wanawake nyie sijui kwanini mwachukiana bila hat sababu
...lete mrejeshonicheki pm
Ahsante mdogo wangu, na kwanini aniombe kisafari cha dakika kadhaa tu? Bora hata ingekuwa safari ya bus na angepishwa kabisa.!Sasa alishindwa nini kukuomba tu kistaarabu akae na mtu wake kama siti zingine zilikua wazi!
Ana akili za kitoto, msamehe tu bure dadangu
Mzigo unawekwa sehemu yoyote ilimradi uwe salama tu. Kwenye buti, kwenye siti au kwenye keria yote sawaSasa kwa mtindo huo itabidi akamate kifaa yake atie kwa bag then atembee nayo.!!