Ila sisi wadada jamani...

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kweli wewe ni Kipanga special..!
 
mpaka sasa mapokezi ya part 1 yamekua makubwa mno hivo jitahidi mwendelezo wake uwepo mazingira hayo hayo ya kupanda dala dala
Hahahaa.
Una tatizo pahala walaqhi'..
Niombee nipatane na tukio nitahakikisha naleta muendelezo.!
 
Hata mimi mwanaume mfano ningekuta demu wangu kakaa na msela ningemchomoa kwa nguvu .....na mbaya zaidi nikute msela ni handsome kunizidi au ana status kunizidi ndo ningejaa sumu kinoma...mtu chake...
Maisha hayaendi hivyo, Kwani hao mahanshamu anapatana nao tu kwa daladala.?? Si wapo everywhere.?
 
Kama kwenye hicho kipicha huyo ni wewe tafadhali kwa heshima na taadhima ninaomba ikukupendeza unipe nafasi moyoni mwako kwani toka kitambo nimekuwa nikiteseka sana nikionapo hiko kipicha.kwahiyo rangi nitakuwa hata sihitaji kuwasha taa nikuone
Huyu ni muigizaji wa Bongo movie mpendwa, sijamkaribia hata nukta halafu pia Mimi ni keusi kazuri, don't get twisted hizo ni avatars.!
 
Ukiona hivo ujue wewe ni pisi kali umemzidi, labda aliogoa utamwibia Carleen
 
Kikubwa sitaki nione huyo hanshamu awe close na my wangu...
Kuna kajimbo nimepita pahala nikaskia eti 'sponsor niachie my wangu, utaanza na wewe 'hanshamu niachie my wangu'..!
 
Kuna kajimbo nimepita pahala nikaskia eti 'sponsor niachie my wangu, utaanza na wewe 'hanshamu niachie my wangu'..!
No....nikikuta mtu analeta shobo kwa my wangu ni kichapo tu...sinaga simile...labda anizidi mbavu...
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Huyu ni wewe?? Narudia tena kuuliza huyu ni wewe.????
 
Hii kiswahili ya DJ AFROOO unaiendeleza hadi kwenye maandishi siku hizi?

Haki vile tutapatana kule kwa siku zote uniambie na wewe wivu umeisha au unasema wenzako...
 
Afu unakuta uyo demu ni mbovu na akikuangalia ww ni pisi kali na umekaa na kibwana chake🀣🀣lazima amaind
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hebu niacheni bwana.!!
 
samahan eti yule onyango unaijua kama hujui hiyo je obonyo yule kaka ya okothi mtt wa odinga
haha,
Nawajua wapi na huku Ileje hatuna hata kideo.!
Hivi Bufa kideo kimeshafika kule kwetu ndani ndani eti?
 
Carleen dear yaani kama nipo na Sakayo ndio ananipa hiyo story uliavyoandika yeye mtupu na ulivyomalizia mirinda nyeusi ndio kabisa sakayo anakujaaa anakataaaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmefanana jamani miandiko mpaka vinywaji mnavyopenda
😍😍😍
Jamani Jamani, thank you so much bbygirl, na nimem miss hasa maskiini, alikuwa anapenda mirinda nyeusi huyo hatari.. Kapotea humu kitambo sana halafu nakapendaga kenyewe.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…