Ila sisi wadada jamani...

Ila sisi wadada jamani...

Kuna siku nimepanda daladala Buguruni, basi nilipata siti ya kushikilia bomba juu, mahali niliposimama kwenye siti ya jirani alikuwa amekaa binti mmoja halafu kavaa kigauni kifupi halafu tupaja fulani hivi amazing, mjuba si nikawa namchungulia kimtindo , kumbe mjuba wake amekaa siti ya nyuma ananicheki navyomnyari demu wake, walivyofika Riverside wakashuka kwa madaha huku wameshikana mikono, nikaishia kuwasindikiza kwa macho.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kweli wewe ni Kipanga special..!
 
mpaka sasa mapokezi ya part 1 yamekua makubwa mno hivo jitahidi mwendelezo wake uwepo mazingira hayo hayo ya kupanda dala dala
Hahahaa.
Una tatizo pahala walaqhi'..
Niombee nipatane na tukio nitahakikisha naleta muendelezo.!
 
Hata mimi mwanaume mfano ningekuta demu wangu kakaa na msela ningemchomoa kwa nguvu .....na mbaya zaidi nikute msela ni handsome kunizidi au ana status kunizidi ndo ningejaa sumu kinoma...mtu chake...
Maisha hayaendi hivyo, Kwani hao mahanshamu anapatana nao tu kwa daladala.?? Si wapo everywhere.?
 
Kama kwenye hicho kipicha huyo ni wewe tafadhali kwa heshima na taadhima ninaomba ikukupendeza unipe nafasi moyoni mwako kwani toka kitambo nimekuwa nikiteseka sana nikionapo hiko kipicha.kwahiyo rangi nitakuwa hata sihitaji kuwasha taa nikuone
Huyu ni muigizaji wa Bongo movie mpendwa, sijamkaribia hata nukta halafu pia Mimi ni keusi kazuri, don't get twisted hizo ni avatars.!
 
Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,

Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda,

Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa na seat mbili jirani kabisa na mlangoni pale, akatangulia mkaka akakaa, kisha nikafuatia mie nikakaa,

the next person kupanda akawa mdada, ila akafika pale pembeni yetu cha ajabu akasimama motionless for few seconds akanitazama kwa macho ya khasira halafu akaenda kukaa seat nyingine ya mbele yetu ipo upande wa dirishani.

Sasa nikashindwaa, kwani this girl nimewahi ona wapi.? Ni nini mbaya naye.? Ni nini nimefanyiana naye mbona kanitazama kwa macho kama vile niliwahi patana naye sehemu?

Nikawachana tu naye, nikachukua kisimu changu nikadumbukia JF, after a while nikaona yule mrembo akageuka then akawa ana discuss na huyo jamaa aliyeko jirani yangu kuwa washuke kituo gani.

Ndiyo nikaelewa, anhaaa' hawa watu kumbe wapo pamoja, nikajiambia tu huyu dada kwa lile jicho kanikata walaqhi' huyu pembeni yangu itakuwa ni kifaa yake, angekuwa brother ake asingeni maindi vile.

Luckily, wakashuka zao baada ya vituo kadhaa, nikaona afadhali wapeleke ukuch kuch hotae wao huko mbele, (ain't jealous hata)..

Ila wadada hii wivu nyingine muwachane tu nayo, It's a public transport, ingawa ningejua they're together I swear nisinge interfere ningewapisha kabisa.

I ain't even that mad though, Jioni njema kwenu.
Ukiona hivo ujue wewe ni pisi kali umemzidi, labda aliogoa utamwibia Carleen
 
Kikubwa sitaki nione huyo hanshamu awe close na my wangu...
Kuna kajimbo nimepita pahala nikaskia eti 'sponsor niachie my wangu, utaanza na wewe 'hanshamu niachie my wangu'..!
 
Kuna kajimbo nimepita pahala nikaskia eti 'sponsor niachie my wangu, utaanza na wewe 'hanshamu niachie my wangu'..!
No....nikikuta mtu analeta shobo kwa my wangu ni kichapo tu...sinaga simile...labda anizidi mbavu...
 
Ahahahah. Wanaume sisi tuna akil sanaa walah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa kifupi hapo ni kwamba huyo Me ndio alitia mgomo kumfuata huyo dem wake wakakae pamoja.Inawezekan alipiga hesab akathaminisha mzigo aloketi nao siti moja akaona usinitanie ngoja nitulie hapa hpa ni test zari ,kuku wako manati ya nn, gf wake tayar wake tu .Anyway nadhan mleta mada atakuja na season 2 kuhusu nini kilitokea hapo "sitini" 😁😁😎😎😎
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Huyu ni wewe?? Narudia tena kuuliza huyu ni wewe.????
 
Hii kiswahili ya DJ AFROOO unaiendeleza hadi kwenye maandishi siku hizi?

Haki vile tutapatana kule kwa siku zote uniambie na wewe wivu umeisha au unasema wenzako...
 
Afu unakuta uyo demu ni mbovu na akikuangalia ww ni pisi kali na umekaa na kibwana chake🀣🀣lazima amaind
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hebu niacheni bwana.!!
 
samahan eti yule onyango unaijua kama hujui hiyo je obonyo yule kaka ya okothi mtt wa odinga
haha,
Nawajua wapi na huku Ileje hatuna hata kideo.!
Hivi Bufa kideo kimeshafika kule kwetu ndani ndani eti?
 
Carleen dear yaani kama nipo na Sakayo ndio ananipa hiyo story uliavyoandika yeye mtupu na ulivyomalizia mirinda nyeusi ndio kabisa sakayo anakujaaa anakataaaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmefanana jamani miandiko mpaka vinywaji mnavyopenda
😍😍😍
Jamani Jamani, thank you so much bbygirl, na nimem miss hasa maskiini, alikuwa anapenda mirinda nyeusi huyo hatari.. Kapotea humu kitambo sana halafu nakapendaga kenyewe.!
 
Back
Top Bottom