Ila sisi wadada jamani...

Ila sisi wadada jamani...

Hii kiswahili ya DJ AFROOO unaiendeleza hadi kwenye maandishi siku hizi?

Haki vile tutapatana kule kwa siku zote uniambie na wewe wivu umeisha au unasema wenzako...
Haha,
Hii si tungeongea tu wenyewe kimya kimya.? Hata watu zingi wasingejua imagine..!
 
Ukiona hivo ujue wewe ni pisi kali umemzidi, labda aliogoa utamwibia Carleen
Haha,
Watu mlionisifia humu siku mkinitia machoni hakikisheni hamzimii.!
 
The way umesound, kwa maisha nje ya jf nimemuona Abby, that most talented, confident and intelligent young girl. akiongea huyo mtoto unaipata hiyo tone..
 
Huyu ni muigizaji wa Bongo movie mpendwa, sijamkaribia hata nukta halafu pia Mimi ni keusi kazuri, don't get twisted hizo ni avatars.!
Anaitwa nani vile,hata wewe weka picha yako,umesema wewe ni keusi kazuri,au sijakusikia vizuri
.
 
Wadada wana wivu sana, sasa kukaa nae siti moja mtu wake inamaana alijua utamchukua au embu badilikeni
 
The way umesound, kwa maisha nje ya jf nimemuona Abby, that most talented, confident and intelligent young girl. akiongea huyo mtoto unaipata hiyo tone..
Ka Abby kako multi talented hadii raha, very confident and smart.. Sijui wazazi wake wanajiskiaje kwa ajili yake jamani.!
 
Siku ya 'Girl power' sijui nimeitaja vizuri! she was among of the guest speakers, alizungumza kwa kujiamini kuliko mama ambaye ni phd holder mhadhiri wa udsm. natamani kujua alisoma shule gani yule mtoto..
 
Unajua namuonaga tu namsifia moyoni lakini sikuwahi mfuatilia kiundani, utanifanya nianze kutaka kujua kumuhusu kiukweli, anavutia sana kumsikiliza.!!
 
Anaitwa nani vile,hata wewe weka picha yako,umesema wewe ni keusi kazuri,au sijakusikia vizuri
.
Jenifer Kyaka alias Odama.!!
Picha yangu ni ya kutishia watoto waache kulia..!
 
Back
Top Bottom