Agenda1
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,695
- 3,412
Kuna maneno ya kiswahili umeyaandika kama mkenya, by the way u sound gud..Mtanzania khalisi kabisa na niko na alama ya ndui begani..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maneno ya kiswahili umeyaandika kama mkenya, by the way u sound gud..Mtanzania khalisi kabisa na niko na alama ya ndui begani..!!
Haha,Hii kiswahili ya DJ AFROOO unaiendeleza hadi kwenye maandishi siku hizi?
Haki vile tutapatana kule kwa siku zote uniambie na wewe wivu umeisha au unasema wenzako...
Sawa sponsor nitakutafuta tuanze harakati,
Anaitwa nani vile,hata wewe weka picha yako,umesema wewe ni keusi kazuri,au sijakusikia vizuriHuyu ni muigizaji wa Bongo movie mpendwa, sijamkaribia hata nukta halafu pia Mimi ni keusi kazuri, don't get twisted hizo ni avatars.!
angejiamini bas ajue kua ule n usafiri wa public😂 😂 😂
Ni mzuri pia mbona..!
Ka Abby kako multi talented hadii raha, very confident and smart.. Sijui wazazi wake wanajiskiaje kwa ajili yake jamani.!The way umesound, kwa maisha nje ya jf nimemuona Abby, that most talented, confident and intelligent young girl. akiongea huyo mtoto unaipata hiyo tone..
Ka Abby kako multi talented hadii raha, very confident and smart.. Sijui wazazi wake wanajiskiaje kwa ajili yake jamani.!
Siku ya 'Girl power' sijui nimeitaja vizuri! she was among of the guest speakers, alizungumza kwa kujiamini kuliko mama ambaye ni phd holder mhadhiri wa udsm. natamani kujua alisoma shule gani yule mtoto..Ka Abby kako multi talented hadii raha, very confident and smart.. Sijui wazazi wake wanajiskiaje kwa ajili yake jamani.!
Unajua namuonaga tu namsifia moyoni lakini sikuwahi mfuatilia kiundani, utanifanya nianze kutaka kujua kumuhusu kiukweli, anavutia sana kumsikiliza.!!Siku ya 'Girl power' sijui nimeitaja vizuri! she was among of the guest speakers, alizungumza kwa kujiamini kuliko mama ambaye ni phd holder mhadhiri wa udsm. natamani kujua alisoma shule gani yule mtoto..