Dada Regina vipi tena ? umenichekisha mpaka nimefyatua goli la mkono
Huyo atakuwa Roho mtakatifu wako anakutekenya
Dada Regina vipi tena ? umenichekisha mpaka nimefyatua goli la mkono
Acha porojoda laiti ungejua list ya mabilionaire waliochizika na wengine wakajiua na wengine mali zinaendeshwa na family na trust hujui mengi rudi shuleni>>>>>>.
matajiri wengi ni machizi kweli kama mdau alivyosema ila kiwango ni kikubwa compare na masikini kwa idadi
unataka list?????Acha porojo
Trump amemgeuka tena Zelensky kisa dili la Diesel kutoka kwa Putin.Alimzuia India asiendelee kununua mafuta ya Urusi. Lakini leo ghafla yeye anayanunua.
Tuweni makini sana kushabikia siasa.
Hapana atakuwa Mudi Anabaka mtoto wa cheichei shangazi. Vipi lakini leo umepandiwa ? Na baada ya kupandiwa vipi uliweza kutembea mwendo wa pole ?Huyo atakuwa Roho mtakatifu wako anakutekenya
Sema mfanya biashara kakutana na biashara kubwa yenye maslahi maana inafanya anadelemkaHamna chizi bilionea
Tena bilionea wa dolari, sio pesa za madafu. Huku ni Trillionear.Hamna chizi bilionea
Roho Mtakatifu wako amekutekenya ndiyo unamwaga matusi tuHapana atakuwa Mudi Anabaka mtoto wa cheichei shangazi. Vipi lakini leo umepandiwa ? Na baada ya kupandiwa vipi uliweza kutembea mwendo wa pole ?
Hili nilikuwa silijui...Marekani nao nadhani hawalijui jambo hili, kwani wangelijua, wangeelewa kuwa kununua mafuta kutoka kwa Russia ni kununua mafuta kutoka kwa Iran...Mkuu kwani hujui kuwa viwanda vingi vya mafuta vya Urusi vimesimamisha uzalishaji Kwa sababu ya mashambulizi ya drone kutoka Ukraine?
Hizi ni super powers (UN P5) politics. Wizara zao za ulinzi ni marafiki wakubwa.Alimzuia India asiendelee kununua mafuta ya Urusi. Lakini leo ghafla yeye anayanunua.
Tuweni makini sana kushabikia siasa.
Hapana sioRoho Mtakatifu wako amekutekenya ndiyo unamwaga matusi tu
alikuambia ujibu hivyo ??Hapana sio
Dada Jagina AKA Jojina vipi leo umelishwa tende ? 😛😛😛
Alimzuia India asiendelee kununua mafuta ya Urusi. Lakini leo ghafla yeye anayanunua.
Tuweni makini sana kushabikia siasa.
Marekani kwa sasa inafanya ubabe tu... Trump anaweza akaamka akasema lolote haijalishi vyombo vyake vya usalama vinasema nini.Yule siyo mshirika wa kuaminika hata kidogo, muda wowote anabadilika ila pia ikumbukwe marekani haina rafiki au adui wa kudumu muda wowote rafiki anaweza kuwa adui na adui akawa rafiki
Hizi ni za Mudi aKa mzee wa TotoziNdio lugha za roho mtakatifu wako hizo ??
Tuangushie tu lugha unazoongozwa na Roho Mtakatifu wa kanisa lakoHizi ni za Mudi aKa mzee wa Totozi
Dada Jojina nae unanifanya ni smile 😛Tuangushie tu lugha unazoongozwa na Roho Mtakatifu wa kanisa lako