Ila Trump ni wa ajabu sana

Ila Trump ni wa ajabu sana

Roho Mtakatifu wako ni kiboko kwa kukuongoza kwenye matusi endelea tu kutukana
Samahani dada yangu Jojina kama nimekukwaza, mimi kuna kipindi uwa najisahau nakuja kustuka nimeshakupenyezea.
 
Samahani dada yangu Jojina kama nimekukwaza, mimi kuna kipindi uwa najisahau nakuja kustuka nimeshakupenyezea.

loose nut , Roho Mtakatifu wako ni kiboko kwa kukuongoza kwenye matusi endelea tu kutukana . Labda ndiyo mafundisho mnayopewa na yesu wenu.
 
Trump amemgeuka tena Zelensky kisa dili la Diesel kutoka kwa Putin.

Bahati nzuri Ukraine imeweza sana kupambana na Putin japo imetelekezwa na Utawala wa Trump.

Kichuguu T14 Armata
Huyo T14 Armata kuna kipindi alisema Russia abakie na mafuta yake tuone atamuuzia nani
Akaongezea kwamba marekani ina zalisha mafuta mengi tu
Ngoja nimngoje atakuja kusemaje hapa
Elensky siku akiachwa mkono hata week hatoboi
 
loose nut , Roho Mtakatifu wako ni kiboko kwa kukuongoza kwenye matusi endelea tu kutukana . Labda ndiyo mafundisho mnayopewa na yesu wenu.
Vipi wewe unapewa na shetwain kuwa bikira yako kila ikigongwa inarudi tena utoto. 😛 😛
 
Dada yangu

Dada yangu Mudi ndio kasema juu ya mabikira 72 sio mimi

Wewe unajiita Mkristo, lakini kila unachoweza kufanya ni kutukana? 🤔 Hebu fungua Biblia yako usome Yakobo 1:26: mtu akijiona kuwa ni mtu wa dini lakini haudhibiti ulimi wake, dini yake haina faida.

Mathayo 15:18 inafundisha kwamba maneno yanayotoka kinywani hutoka moyoni. Sasa jiulize: matusi yako yanaonyesha nini kuhusu moyo wako?

Wagalatia 5:22–23 inaeleza matunda ya Roho, yakiwemo upendo, uvumilivu na kiasi.

Usitumie jina la Yesu kama pambo wakati mwenendo wako unapingana na mafundisho unayodai kuyafuata. Kama una hoja kuhusu Uislamu, lete hoja na ushahidi wa maandiko. Kama huna hoja, kubali kwamba huna hoja badala ya kujificha nyuma ya matusi.

Mithali 26:4 inasema tusimjibu mpumbavu kwa kadiri ya upumbavu wake. Kwa hiyo sitashuka kwenye kiwango cha matusi yako. Nitajibu hoja zako, si hasira zako. 📖
 
Zelensky afagilii pigo za Trump, yeye anapiga tu viwanda vya mafuta hapo kwa Putin bila kupepesa!!!
Zele bhana, acha kabisa!
 
Marekani kwa sasa inafanya ubabe tu... Trump anaweza akaamka akasema lolote haijalishi vyombo vyake vya usalama vinasema nini.
Nashangaa ulaya bado hawana msimamo. Yeye anawambia wasinunue mafuta halafu ananunua na kuwauzia. UIaya imekuwa joka la kibisa. Macron anajaribu kuifanya ione uhalisia ila ndio hivyo wengine wanafyata mikia.
Ulaya yote ni mandondocha mbele ya USA kuanzia kipindi kile Cha Marshall plan
 
Na hii Ukraine wailipue
Screenshot_20261021-155847.png
 
Back
Top Bottom