Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

Ulitaka awe na Jeshi uone ushujaa wakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Upo Sirius kweli ..
Nazumgumzia Resilience haihitaji uwe na vifaru au jeshi.

Unless sijakuelewa. Kama unamaana alikuwa msumbufu au mtukutu nakukubalia.

Lkn sifa ya upambanaji kapoteza
 
Kwa nini mkuu usiseme tu kuwa ni shujaa wako na kwetu wengine ni takataka toka kwa mabeberu.
 
Mashujaa wa Tanzania ni wengi sana,lakini kuna namba 1,2,3,4....... mimi nawataja saba tu
1:Tundu Antipas Lissu.
2:Freeman Mbowe
3:Maalim Seif
4:Mkwawa
5πŸ˜›eter Msigwa
6:Godbless Lema.
7:Kinjekitile Ngwale.
 
Dadavua huo mkopo unaozungumzia
 
Nadhani hata MWAMBA MBOWE, huyu jamaa atatajwa jina lake na vizazi na vizazi kwa miaka elfu kadhaa ijayo.
 
Lissu hana mfano. Siku anashuka Airport tar 27 August nilijua mwisho wake umefika. Niliogopa sana. Lakini Yeye hakuogopa kabisa. Tulifunga na kusali siku ile.
 

kama ni kiboko mbona hakai majini
 
Lissu na mbowe ni mifano ya kuilinda imani yako bila kutetereka wala kupiga magoti

Hawa ndio majabali wa siasa na harakati katika nchi hii

Wengine wote wapo hapo sababu baba alikuwa kiongozi au wako kimaslahi zaidi
 
Kwa sasa yuko wapi? Hivi ni nani alikimbilia ubalozini kuomba hifadhi na escort? Angekomaa tu baada ya uchaguzi, angestahili sìfa zote ulizompa.
 
Lissu alifunguliwa kesi za uwongo kibao polisi na mahakamani na dikteta uchwara akifikri kuwa ataweza kumunyamazisha lakini wapi, Lissu aliendelea kuchapa kazi na dikteta uchwara aliendelea kupewa vidonge vyake vya kuitwa dikteta uchwara.

Dikteta uchwara akadhani kuwa labda kumuua kwa kumchapa risasi kutamletea unafuu lakini wapi ndio kwanza kafa yeye kamuacha Lissu anadunda, na kubwa zaidi ni pale ambapo Lissu alirudi nchini kupambana na dikteta uchwara kwenye urais pamoja na kupaniwa kote alikokuwa amepaniwa kuwa atakapokanyaga ardhi ya Tanzania atakamatwa na kuozea jela.

Lakini mwanaume alikanyaga Tanzania akapambana na dikteta uchwara na mahakamani walikokuwa wanamhitaji kama lulu ili wampeleke jela akafie huko hakukanyaga na bado aliwazidi maarifa akarudi aliko toka pasipokumfanya chochote utafikri siyo Lissu waliyekuwa wanamtafuta kwa udi na uvumba.
 
Aliye mpiga risasi lissu kashatangulia mbinguni ,aliyepigwa Bado anakula mema ya duniani
Magufuli muuaji atangulie mbinguni, kwenye mbingu ya nani hiyo, si atawachapa risasi malaika wote halafu Mungu apate tena kazi ya kumtupa jehanamu kama shetani.
 
Mpiganaji hawezi kukimbia uwanja wa vita. Anamuachia nani sasa apigane iwapo yeye aliamua kuwa mstari wa mbele
Kukimbia kwenye uwanja wa vita ni mbinu ya kujipanga kuendelea na vita zaidi unaweza ukakuta hata adui yako amedanja Mungu akawa amekupigania kilaiini pasipo hata kutumia risasi yako hata moja,kama alivyofanya Yesu aliyekimbilia misri mpaka adui yake aliyekuwa anatafuta kumumaliza alipodanja ndipo aliporudi na kuendelea na kazi yake aliyotumwa na Mungu.
 
Magufuli alikuwa kiongozi dhaifu sana. Kitendo cha kummiminia mpinzani wako risasi zote zile kilikuwa cha kanyama sana.
Ila mungu wetu ni fundi... tukulipe nini baba kwa shujaa wako uliotutendea halo 17.3.2021??? Hakika wewe mungu ni fundi
 
Maua hunyauka, story huisha na kumbukumbu husahaulika...
 
Hivi Riz1 bin Vasco Dagama angepgwa risasi kama zile asingetibiwa na serikali ( bunge) nje ya nchi? Mbona kiongozi wa bunge alienda na wasaidizi wake India kutibiwa kwa garama za serikali ungonjwa wenyew wa kujitakia. KWELI PROF ASSAD ANASTAHILI HEKO
 
Magufuli alikuwa kiongozi dhaifu sana. Kitendo cha kummiminia mpinzani wako risasi zote zile kilikuwa cha kanyama sana.
Ila mungu wetu ni fundi... tukulipe nini baba kwa shujaa wako uliotutendea halo 17.3.2021??? Hakika wewe mungu ni fundi
Lijamaa na lile bichwa lake linasikilizia tu adhabu ya kabuli. Kudadek
 
Tumesoma miujiza mingi kwenye Biblia na quran na mingine ya kuhadithiwa. Tumebahatika kushuhudia muujiza utakaosimuliwa kwa miaka 1000 mbele.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Wewe ni Nani Mkuu?

Usijekuwa Keyboard warrior πŸ˜€πŸ˜€
Sio mbaya. Mboa Supika kaufyata? Hata kutype hawezi. Vipi Polepole na Gwaji? Kuw Keyboard warrior sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…