Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

Nakwambia miaka mitano iliyopita imeonyesha wazi kuwa nchi hii watu wasiowaoga hawafiki 10.
Kumi wengi sana sema wawili,mimi binafsi siwezi ule ujasiri wa jamaa,alimtukana magufuli kwenye kampeni tabata nikajua mkutano ukiisha polisi wanambeba ,polisi wenyewe wakabaki wanamshangaa
 
Tundu lissu ni kiumbe ambacho Mungu ameamua kukitumia kuonyesha ukuu wake. Rejea hadithi ya Daudi kombeo na Goliath.
 
Kwa wanaoamini mungu tukio la lissu kugongwa mawe 16 na magufuli kufa ni tukio la kibiblia.
 
Mmmghhh acha unafiki, wewe si ndio ulikua unaandika against upinzani na namba ya simu juu??
 
Endelea kuota
 
Lisu ni kiboko ndo hivyo
 
Jamaa ni mmojawapo wa tembo wa siasa za nchi hii, sio rahisi kumpuuza.
 
Jifanye kama unajikuna halafu uite kwa sauti TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSUUUUU karibu na alipolala mwenda zake hakika anaweza kutoa upara nje akakutwanga ndoo moja na kurudi kuzimu nyie nyie acheni hata BASHITE anapotaja jina la LISSU muangalieni vizuri utaona uso unajikunja ghafla yaani maana yake BOXER kama SanLG inabana na kuachia
 

Sio pouwa
 
Kwangu wanasiasa wanaotakiwa kukumbukwa Tanzania ni Mbowe, Lissu na Maalimu seif ukiacha hawa wachumi wa matumbo yao akina nyepesi
We kwl hamnazo kabisa, labda km ni makengeza ni mchaga mwenzio. Huoni hata haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…