Ila ukweli ni kwamba Wamenyimwa Goli halali lililovuka mstari wa Goli

Ila ukweli ni kwamba Wamenyimwa Goli halali lililovuka mstari wa Goli

Nilichojifunza hii michuano ina wenyewe. Kuna timu maalumu zimepewa haki ya kuchukua au kufika hatua za juu
1. Angalia hata upangaji wa droo ya nusu fainali, ni kama timu fulani zinazojiona kubwa zilipanga zikutane na nani. Dròo inakuwa kama geresha tu. Walofanya hivyo wakidhani watapata matokeo kwa urahisi
2. Ndani ya pichi matarajio yao yanapofeli wanatumia namna yoyote ile kuvuka hata kama kwa uporaji
 
Rufaa tu ndio itakayotupa heshima Wana jangwani
Kwenye mpira rufaa kama hizi ni kupoteza muda. Ofcourse sisemi kuwa lilikuwa goli basi nataka tu kusema kiendacho kwa mganga.... Liwe goli lisiwe goli lakini makosa ya ki-uamuzi ni moja ya sehemu ya mpira wa miguu. Watu wamefunga magoli ya mkono na yakakubaliwa..
 
Nilichojifunza hii michuano ina wenyewe. Kuna timu maalumu zimepewa haki ya kuchukua au kufika hatua za juu
1. Angalia hata upangaji wa droo ya nusu fainali, ni kama timu fulani zinazojiona kubwa zilipanga zikutane na nani. Dròo inakuwa kama geresha tu. Walofanya hivyo wakidhani watapata matokeo kwa urahisi
2. Ndani ya pichi matarajio yao yanapofeli wanatumia namna yoyote ile kuvuka hata kama kwa uporaji
Mbona unataka kuvunja watu mbavu? Hujui kuwa ukiingia kwenye mashindano unatakiwa uwe tayari kukutana na yeyote? Tena hapa unaonyesha kukiri kuwa timu zetu ni dhaifu hivyo zikipzngiwa na hizo nyingine ni uonevu
 
Kwa Mpira mkubwa walioucheza Dar na leo Jorzy nina uhakika Msimu ujao wa Mashindani ya Kimataifa na Usajili wa Kiufundi na Kimkakati ukiendelea kufanywa nao nawaona kufika Fainali ya CAFCL na hata kuwa Mabingwa na Kutuumbua Wazee wa Robo Robo FC kama ambavyo baadae kidogo tunaishia tena tulikokuzoea Robo Robo daima.
Wakati mungine huwa unaongea ukweli humumunyi maneno.
Gamondi na benchi lake pamoja na kukosa wachezaji 3 muhimu lakini shughuli imeonekana.
 
Soka haiko hivyo...
Simba ya kishingo ilikuwa vizuri wakitolewa na Kaizer Chief....
 
Back
Top Bottom