Ila ukweli ni kwamba Wamenyimwa Goli halali lililovuka mstari wa Goli

Nilichojifunza hii michuano ina wenyewe. Kuna timu maalumu zimepewa haki ya kuchukua au kufika hatua za juu
1. Angalia hata upangaji wa droo ya nusu fainali, ni kama timu fulani zinazojiona kubwa zilipanga zikutane na nani. DrΓ²o inakuwa kama geresha tu. Walofanya hivyo wakidhani watapata matokeo kwa urahisi
2. Ndani ya pichi matarajio yao yanapofeli wanatumia namna yoyote ile kuvuka hata kama kwa uporaji
 
Rufaa tu ndio itakayotupa heshima Wana jangwani
Kwenye mpira rufaa kama hizi ni kupoteza muda. Ofcourse sisemi kuwa lilikuwa goli basi nataka tu kusema kiendacho kwa mganga.... Liwe goli lisiwe goli lakini makosa ya ki-uamuzi ni moja ya sehemu ya mpira wa miguu. Watu wamefunga magoli ya mkono na yakakubaliwa..
 
Mbona unataka kuvunja watu mbavu? Hujui kuwa ukiingia kwenye mashindano unatakiwa uwe tayari kukutana na yeyote? Tena hapa unaonyesha kukiri kuwa timu zetu ni dhaifu hivyo zikipzngiwa na hizo nyingine ni uonevu
 
Wakati mungine huwa unaongea ukweli humumunyi maneno.
Gamondi na benchi lake pamoja na kukosa wachezaji 3 muhimu lakini shughuli imeonekana.
 
Soka haiko hivyo...
Simba ya kishingo ilikuwa vizuri wakitolewa na Kaizer Chief....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…