[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baba mwenye nyumba akishakusanya kodi yake anatoa sofa moja barazani na stool ana kunywa balimi yake taratibu. Akinywea ndani nani anajua?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baba mwenye nyumba akishakusanya kodi yake anatoa sofa moja barazani na stool ana kunywa balimi yake taratibu. Akinywea ndani nani anajua?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baba mwenye nyumba akishakusanya kodi yake anatoa sofa moja barazani na stool ana kunywa balimi yake taratibu. Akinywea ndani nani anajua?
Taarifa ya habari unapata bila kununua redio,mawasiliano yote masikioni mwako!msiba gani utokee usiujue?mpaka kilichomuua marehemu utajulishwa tu. Yule alikuwa na ngoma!
Sasa uhamie wapi!huko magetini mnauguza,mnafiwa nyumba ya pili hawajui.!akuuuu mie wa hapa hapa. Ukipanda bodaboda utasikia tu majirani wanavyosema babe nanihiu mshahara tayari. Hatunaga siri sisi.Uswazi full kuchambana,wamama kupigana mpaka wavuane khanga,
Kuibiana nguo kwenye kamba,mkaa jikoni
Hahaa kuombana mboga.
Mtoto wa jirani anakula kuanzia asubuhi mpaka jioni mama yake hana hata habari.
Kutoboleana nyavu za madirisha!
Kujuana undani kuliko hata wewe mwenyewe.
Uswazi sihami ng'oo
Ukivaa ukipendeza utasikia baba fulani siku hizi anakutunza jamani...Sasa uhamie wapi!huko magetini mnauguza,mnafiwa nyumba ya pili hawajui.!akuuuu mie wa hapa hapa. Ukipanda bodaboda utasikia tu majirani wanavyosema babe nanihiu mshahara tayari. Hatunaga siri sisi.
Na ukikonda wanamchana live khaa baba nanihiu mpendezeshe shemeji buana..anakosa hadi visendoz vya kuendea klinik!Ukivaa ukipendeza utasikia baba fulani siku hizi anakutunza jamani...
Hahahaa
Hapo anamalizia vipo kwangu nakopesha 6000 tuNa ukikonda wanamchana live khaa baba nanihiu mpendezeshe shemeji buana..anakosa hadi visendoz vya kuendea klinik!
Watetezi kibao!huku mtu kununua ugomvi wa mtu Wala siyo ishu,utasikia tu wanakusanyana twende tukamkomeshe amezidi.Hapo anamalizia vipo kwangu nakopesha 6000 tu
Uswazi bado wanaume wapo bana!Nilipokuwa nimepanga sijui ilikuwa dojo
Maana ilikuwa haipiti wiki tunaamulia ugomvi wa mume kumpiga mke tena majamaa 2 hao walikuwa wanafumua [emoji23] na sio kupiga wake zao kuna siku nyt tuliamulia ugomvi chumba Fulani jamaa alikuwa anatoa mijebu kama pacquaio kesho yake tukaenda kuamulia chumba kingine demu mwingine alikuwa anapokea mijebu mithili ya mayweather
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na ukikonda wanamchana live khaa baba nanihiu mpendezeshe shemeji buana..anakosa hadi visendoz vya kuendea klinik!
Mkuu afadhali wakuchanje unaweza kukuta upara down below
Tena tunapimana kwa macho tu,vipimo vya nini sasa![emoji16]Uswazi raha wenye ngoma wote wanajulikana
Sasa huko nani anawaonea wivu,!yaani hao ndege tu!huku tunarushana roho hatari.Sio maisha matamu uswazi ukiwa na umpendaye hamuwezi ongea taratibu kila upande unasikia kelele njoo huku uone utulivu hewa safi sauti za ndege tofauti muziki mdogo kama haupo mjini joto kidogo upepo mwingi