Ila uswazi kuna raha jamani

Ila uswazi kuna raha jamani

Baba mwenye nyumba akishakusanya kodi yake anatoa sofa moja barazani na stool ana kunywa balimi yake taratibu. Akinywea ndani nani anajua?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaah raha sana. Sasa ukute mtaa una walevi wa pombe za kienyeji usiku mmetulia ndani wao nje wanatawala barabara kwa maneno yao ya shombo na kujitapa
Taarifa ya habari unapata bila kununua redio,mawasiliano yote masikioni mwako!msiba gani utokee usiujue?mpaka kilichomuua marehemu utajulishwa tu. Yule alikuwa na ngoma!
 
Uswazi full kuchambana,wamama kupigana mpaka wavuane khanga,
Kuibiana nguo kwenye kamba,mkaa jikoni
Hahaa kuombana mboga.
Mtoto wa jirani anakula kuanzia asubuhi mpaka jioni mama yake hana hata habari.

Kutoboleana nyavu za madirisha!
Kujuana undani kuliko hata wewe mwenyewe.

Uswazi sihami ng'oo
Sasa uhamie wapi!huko magetini mnauguza,mnafiwa nyumba ya pili hawajui.!akuuuu mie wa hapa hapa. Ukipanda bodaboda utasikia tu majirani wanavyosema babe nanihiu mshahara tayari. Hatunaga siri sisi.
 
Nilipokuwa nimepanga sijui ilikuwa dojo

Maana ilikuwa haipiti wiki tunaamulia ugomvi wa mume kumpiga mke tena majamaa 2 hao walikuwa wanafumua [emoji23] na sio kupiga wake zao kuna siku nyt tuliamulia ugomvi chumba Fulani jamaa alikuwa anatoa mijebu kama pacquaio kesho yake tukaenda kuamulia chumba kingine demu mwingine alikuwa anapokea mijebu mithili ya mayweather
 
Jamani [emoji3][emoji23][emoji16] kunenepa mpaka ukishalipa deni! Ukigegeda kwa sifa kesho habari yote nje! Anakatika kweli mke wa nanihiu[emoji3]
 
Sasa uhamie wapi!huko magetini mnauguza,mnafiwa nyumba ya pili hawajui.!akuuuu mie wa hapa hapa. Ukipanda bodaboda utasikia tu majirani wanavyosema babe nanihiu mshahara tayari. Hatunaga siri sisi.
Ukivaa ukipendeza utasikia baba fulani siku hizi anakutunza jamani...
Hahahaa
 
Nilipokuwa nimepanga sijui ilikuwa dojo

Maana ilikuwa haipiti wiki tunaamulia ugomvi wa mume kumpiga mke tena majamaa 2 hao walikuwa wanafumua [emoji23] na sio kupiga wake zao kuna siku nyt tuliamulia ugomvi chumba Fulani jamaa alikuwa anatoa mijebu kama pacquaio kesho yake tukaenda kuamulia chumba kingine demu mwingine alikuwa anapokea mijebu mithili ya mayweather
Uswazi bado wanaume wapo bana!
 
Mkuu afadhali wakuchanje unaweza kukuta upara down below

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] naimagine nimeamka mashavu yamesafishwa. Unaweza kujikataa na papuchi ukaikana kabisa siyo yako[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio maisha matamu uswazi ukiwa na umpendaye hamuwezi ongea taratibu kila upande unasikia kelele njoo huku uone utulivu hewa safi sauti za ndege tofauti muziki mdogo kama haupo mjini joto kidogo upepo mwingi
 
Sasa huko nani anawaonea wivu,!yaani hao ndege tu!huku tunarushana roho hatari.
 
Back
Top Bottom