Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dauda alikuwa anakuwa .Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts.
Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
Mkuu pole sana pengine ulidanganwa wewe peke yako. Kwakweli kwa kipindi huyu dogo ndio anaanza mpira wake wachamee kama Shaffih ndio walikua wanaibukia wakalisha sana watu matango poriKumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts.
Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂