Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo๐Ÿ˜‚, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts.

Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori๐Ÿ˜‚
 
Rashid Fuad ahahahah, bongo wanatuokota sana.
 
Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts.

Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori๐Ÿ˜‚
Mkuu pole sana pengine ulidanganwa wewe peke yako. Kwakweli kwa kipindi huyu dogo ndio anaanza mpira wake wachamee kama Shaffih ndio walikua wanaibukia wakalisha sana watu matango pori
 
Nakumbuka kipindi hicho instagram ilikua kwenye 2017 hivi kama sikosei jamaa katupiga sana fix kuwa asili ya Rashford ni mpemba na hiyo stori aliirudia rudia sana enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ