Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.

Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.

Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?

Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.
Uliangalia hadi mwisho?
 
Sijui kama yaliotokea L.A yatatuacha salama...
 
Unfollow pages zote kwenye insta yako halafua uanze upya kufollow pages za maana tu. Hilo linawezekana. Na hutakaa uone ujinga wowote.

Tatizo umefollow misambwanda wewe mwenyewe kwa raha zako halafu utegemee kuona wakiimba gospel? Ndugu are you serious?
Misambwanda ina raha yake sanaaaa
 
Nyie ndio mnachangia kuharibu jamii pumbav......
Utafikiri unaishi kisiwani.......
Siku ukiona kibinti chako kinarusha tako
Au kidada chako ndio utaelewa kwamba tatizo ni la jamii
Mkuu ipo hivi.
Kweli tatizo ni la kijamii ila wazazi wanayo nafasi kubwa ya kupunguza hili tatizo kwa kiasi kikubwa wazazi tumekuwa wazembe.
Nina mtoto wa miaka 8 hapa home, wa kike. Ni marufuku kuangalia Tv. Na kama imetokea amengalia basi inakuwa ni taarifa ya habari au channel ya dini. Hakuna Tamthilia yoyote anayoijua , mtu akitaka kuangalia tamthilia anaangalia wakati mtoto hayupo. Ipo hivyo na tumezoea.
Hizo ni sheria kutoka kwa baba yake na zinatekelezeka vizuri tu. 😅😅
Tatizo linakuja labda ameenda mahali pengine akaona au kusikia, inaweza kumkaa akilini lkn sio kwa muda mrefu kama ambavyo angekuwa akiona na kusikia kila siku.
So hizi nyimbo za kina zuchu anazisikia tu kwa juu juu na anajua kabisa ni marufuku kuziimba😀. Inaweza isisaidie kwa asilimia 100 lkn itapunguza madhara kwa kiasi kidogo.

So tubadilike sisi wenyewe kwenye malezi.
 
Haha umenichekesha. Mimi kwangu ni nadra sana ukute kumewekwa channels za muziki labda kwa bahati mbaya. Ni makubaliano tuliyokubaliana ndani kuwa kutokana na nyimbo kujaa matusi, basi hatutaweka channel hizo. In short ni kwamba si channel za ndani au nje za muziki zinazowekwa kwangu sema still kuna muda unaweza kuwa na watoto mnapita sehemu ukashangaa muziki unapigwa vinaimba kila mstari mpaka najiuliza wanazijulia wapi.
Nilikuwa nawaza kupata king'amuzi hapa kwangu lakini content za siku hzi nimeona natailisha akili yangu mambo yasiyofaa maana siwi huru kuchagua maudhui na channel nyngi zina maudhui machafu....

kwangu mm njia nzur ya kuburudika ni kusoma stories maana hapa nakuwa huru kuchagua...
 
Sasa Sheikh ww unaperuzi zako insta mara ghafra msambwanda huo umekatiza utashindwa kufungua kweli? Emu kuwa muwazi.
Huwezi kuletewa msambwanda kama algorithm haijanusa kuwa unavutiwa nayo mtandaoni. Ukichunguza utakuta umefollowcpage hizo, au imelike pic hizo , au umeshare au umecommrnt, au unavisit sana page hizo

Pesonally nitafungua, ila sitakuja hapa kulalamika
 
Unfollow pages zote kwenye insta yako halafua uanze upya kufollow pages za maana tu. Hilo linawezekana. Na hutakaa uone ujinga wowote.

Tatizo umefollow misambwanda wewe mwenyewe kwa raha zako halafu utegemee kuona wakiimba gospel? Ndugu are you serious?
Sihafollow yeyote anaepost huo ujinga,na siihitaji tena
Nafurahia maisha ya bila hiyo mutandao,
 
hiyo nyingine ndo huwa naona maana ni mimi mwenyewe nimeamua nizione😅.
Kwa hio hua unachukua experience watu wanavyotifuliwa nyuma ili na wewe usimuhuzunishe mista
 
Kitu kingine usikubali kabisa mtoto wako alelewe na streets. Kile unachokiamini na kukisimamia kifanye kiwe katiba ndani ya nyumba yako. Wafundishe watoto kile unachokiamini na usikate tamaa, kuwa mzazi ni full-time job
 
Mpaka hapa hakuna ata picha moja ya makalio, uzi umepoa sana
Haya chukua pisi hiyo
FB_IMG_17368036193946383.jpg
 
Umejiexpose vibaya sana bro, ni hivi, Algorithm ya instagram inakuonuesha vile vitu unavyovutiwa navyo, huwa inaangalia picha za aina flani unazi-like sana, au unachukua muda mrefu ndani ya page za aina flani, hivyo hata matangazo ya biashara utaoewa yale unayoendana nayo, vivyo hivyo hata content zipo taylor made kwa ajili yako. Wewe unapemda sana hivyo vitu, ndio maana Algoritn inakupa unachopenda. Mnafiki wewe hadi unatia aibu.
si kweli mkuu,... kwasasa unaweza letewa ads yoyote ile,....kama unatumia phoenix au Vidmate, utakuwa shahidi.....
 
Back
Top Bottom