Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Hasa Upareni huko ndio hatari.Dah watu wanatafuna lain za tigo 🙌 h cjawah kuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa Upareni huko ndio hatari.Dah watu wanatafuna lain za tigo 🙌 h cjawah kuona
Uliangalia hadi mwisho?Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.
Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.
Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?
Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.
Sijui kama yaliotokea L.A yatatuacha salama...Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.
Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.
Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?
Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.
Misambwanda ina raha yake sanaaaaUnfollow pages zote kwenye insta yako halafua uanze upya kufollow pages za maana tu. Hilo linawezekana. Na hutakaa uone ujinga wowote.
Tatizo umefollow misambwanda wewe mwenyewe kwa raha zako halafu utegemee kuona wakiimba gospel? Ndugu are you serious?
Mkuu ipo hivi.Nyie ndio mnachangia kuharibu jamii pumbav......
Utafikiri unaishi kisiwani.......
Siku ukiona kibinti chako kinarusha tako
Au kidada chako ndio utaelewa kwamba tatizo ni la jamii
Ni kweli. Sasa huyu mwenzako kayafollow halafu analalamika mwenyewe. Internet inakupa kile ambacho wewe unataka kukiona.Misambwanda ina raha yake sanaaaa
Misambwanda kama yote ukitaka juu mpaka chi ni video za misambwandaNi kweli. Sasa huyu mwenzako kayafollow halafu analalamika mwenyewe. Internet inakupa kile ambacho wewe unataka kukiona.
Nilikuwa nawaza kupata king'amuzi hapa kwangu lakini content za siku hzi nimeona natailisha akili yangu mambo yasiyofaa maana siwi huru kuchagua maudhui na channel nyngi zina maudhui machafu....Haha umenichekesha. Mimi kwangu ni nadra sana ukute kumewekwa channels za muziki labda kwa bahati mbaya. Ni makubaliano tuliyokubaliana ndani kuwa kutokana na nyimbo kujaa matusi, basi hatutaweka channel hizo. In short ni kwamba si channel za ndani au nje za muziki zinazowekwa kwangu sema still kuna muda unaweza kuwa na watoto mnapita sehemu ukashangaa muziki unapigwa vinaimba kila mstari mpaka najiuliza wanazijulia wapi.
😂 Wapare hatuna hizo mbangaHasa Upareni huko ndio hatari.
Huwezi kuletewa msambwanda kama algorithm haijanusa kuwa unavutiwa nayo mtandaoni. Ukichunguza utakuta umefollowcpage hizo, au imelike pic hizo , au umeshare au umecommrnt, au unavisit sana page hizoSasa Sheikh ww unaperuzi zako insta mara ghafra msambwanda huo umekatiza utashindwa kufungua kweli? Emu kuwa muwazi.
Sihafollow yeyote anaepost huo ujinga,na siihitaji tenaUnfollow pages zote kwenye insta yako halafua uanze upya kufollow pages za maana tu. Hilo linawezekana. Na hutakaa uone ujinga wowote.
Tatizo umefollow misambwanda wewe mwenyewe kwa raha zako halafu utegemee kuona wakiimba gospel? Ndugu are you serious?
Kwa hio hua unachukua experience watu wanavyotifuliwa nyuma ili na wewe usimuhuzunishe mistahiyo nyingine ndo huwa naona maana ni mimi mwenyewe nimeamua nizione😅.
vijana wa dareslaam Kama Vishu Mtata, Zulu man na Half american a.k.a nusu albino 😆 🤣kontawa
bora huo
kuna mmoja unaimbwa; "jamani mbona kunanuka nani kajamba?" wa meja kunta
vijana wa daresalaam wanafagilia huu upuuzi
Haya chukua pisi hiyoMpaka hapa hakuna ata picha moja ya makalio, uzi umepoa sana
si kweli mkuu,... kwasasa unaweza letewa ads yoyote ile,....kama unatumia phoenix au Vidmate, utakuwa shahidi.....Umejiexpose vibaya sana bro, ni hivi, Algorithm ya instagram inakuonuesha vile vitu unavyovutiwa navyo, huwa inaangalia picha za aina flani unazi-like sana, au unachukua muda mrefu ndani ya page za aina flani, hivyo hata matangazo ya biashara utaoewa yale unayoendana nayo, vivyo hivyo hata content zipo taylor made kwa ajili yako. Wewe unapemda sana hivyo vitu, ndio maana Algoritn inakupa unachopenda. Mnafiki wewe hadi unatia aibu.
Choo kama Choo ila nadhani alimaanisha chooAlimaanisha choo ama "choo" ?
Huyu si nanii huyuHaya chukua pisi hiyo
View attachment 3202505