Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

Uliangalia hadi mwisho?
 
Sijui kama yaliotokea L.A yatatuacha salama...
 
Misambwanda ina raha yake sanaaaa
 
Nyie ndio mnachangia kuharibu jamii pumbav......
Utafikiri unaishi kisiwani.......
Siku ukiona kibinti chako kinarusha tako
Au kidada chako ndio utaelewa kwamba tatizo ni la jamii
Mkuu ipo hivi.
Kweli tatizo ni la kijamii ila wazazi wanayo nafasi kubwa ya kupunguza hili tatizo kwa kiasi kikubwa wazazi tumekuwa wazembe.
Nina mtoto wa miaka 8 hapa home, wa kike. Ni marufuku kuangalia Tv. Na kama imetokea amengalia basi inakuwa ni taarifa ya habari au channel ya dini. Hakuna Tamthilia yoyote anayoijua , mtu akitaka kuangalia tamthilia anaangalia wakati mtoto hayupo. Ipo hivyo na tumezoea.
Hizo ni sheria kutoka kwa baba yake na zinatekelezeka vizuri tu. 😅😅
Tatizo linakuja labda ameenda mahali pengine akaona au kusikia, inaweza kumkaa akilini lkn sio kwa muda mrefu kama ambavyo angekuwa akiona na kusikia kila siku.
So hizi nyimbo za kina zuchu anazisikia tu kwa juu juu na anajua kabisa ni marufuku kuziimba😀. Inaweza isisaidie kwa asilimia 100 lkn itapunguza madhara kwa kiasi kidogo.

So tubadilike sisi wenyewe kwenye malezi.
 
Nilikuwa nawaza kupata king'amuzi hapa kwangu lakini content za siku hzi nimeona natailisha akili yangu mambo yasiyofaa maana siwi huru kuchagua maudhui na channel nyngi zina maudhui machafu....

kwangu mm njia nzur ya kuburudika ni kusoma stories maana hapa nakuwa huru kuchagua...
 
Sasa Sheikh ww unaperuzi zako insta mara ghafra msambwanda huo umekatiza utashindwa kufungua kweli? Emu kuwa muwazi.
Huwezi kuletewa msambwanda kama algorithm haijanusa kuwa unavutiwa nayo mtandaoni. Ukichunguza utakuta umefollowcpage hizo, au imelike pic hizo , au umeshare au umecommrnt, au unavisit sana page hizo

Pesonally nitafungua, ila sitakuja hapa kulalamika
 
Sihafollow yeyote anaepost huo ujinga,na siihitaji tena
Nafurahia maisha ya bila hiyo mutandao,
 
hiyo nyingine ndo huwa naona maana ni mimi mwenyewe nimeamua nizione😅.
Kwa hio hua unachukua experience watu wanavyotifuliwa nyuma ili na wewe usimuhuzunishe mista
 
Kitu kingine usikubali kabisa mtoto wako alelewe na streets. Kile unachokiamini na kukisimamia kifanye kiwe katiba ndani ya nyumba yako. Wafundishe watoto kile unachokiamini na usikate tamaa, kuwa mzazi ni full-time job
 
si kweli mkuu,... kwasasa unaweza letewa ads yoyote ile,....kama unatumia phoenix au Vidmate, utakuwa shahidi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…