Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

Kitu ambaacho kinashangaza unakuta wao wenyewe wanajirekodi...hapa mtaani kuna mtoto mmoja aligombana na mwenzie sasa huyo dogo kumbe alikua na video za mama yake akicheza akitingisha makalio huyo dogo kachukua zile video kazituma kwenye group la marafiki zao....daah nimevaa viatu vya dogo imagine marafiki zako kumuona mama yako mzazi anafanya hivo inauma afu mtoto wa kiume.....ila ukiwaambia dada zetu kuna kukua na kuzeeka hawasikii
 
Vi Gn-Z ukipiga picha na gari kali umemchukua.
Full drama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…