Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Nipatie majina ya hizo nyimbo nikasikilizemshamba_hachekwi kasema vijana wa dareslaam mna enndekeza nyimbo za kipuuzi, ndo nika wataka wewe na malofa wenzio😁😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipatie majina ya hizo nyimbo nikasikilizemshamba_hachekwi kasema vijana wa dareslaam mna enndekeza nyimbo za kipuuzi, ndo nika wataka wewe na malofa wenzio😁😂
Kitu ambaacho kinashangaza unakuta wao wenyewe wanajirekodi...hapa mtaani kuna mtoto mmoja aligombana na mwenzie sasa huyo dogo kumbe alikua na video za mama yake akicheza akitingisha makalio huyo dogo kachukua zile video kazituma kwenye group la marafiki zao....daah nimevaa viatu vya dogo imagine marafiki zako kumuona mama yako mzazi anafanya hivo inauma afu mtoto wa kiume.....ila ukiwaambia dada zetu kuna kukua na kuzeeka hawasikiiYani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.
Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.
Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?
Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.
Kaka mimi sio mkazi wa dasalama
Hassan by meja kuntaNipatie majina ya hizo nyimbo nikasikilize
Sawa,nitafanya hivyo muda si mrefuHassan by meja kunta
Toilet by kontawa😂🤣
Heeeeh nani kaimba hivyo?wimbo unaimbwa "ooh toileti, mida ya kwenda toileti"🚮
na mtu anasikiliza
😁😁wimbo unaimbwa "ooh toileti, mida ya kwenda toileti"🚮
na mtu anasikiliza
UkiupataHebu nitumien huo wimbo wa choo mm mgeni hapa dar
Nimekumiss huonekaniUkiupata
Usisahau kushare
Hahaha jumamosi utaniona hapo sokoni, Anza kunoa meno tuNimekumiss huonekani
Wee nipange tuHahaha jumamosi utaniona hapo sokoni, Anza kunoa meno tu
Umri ushaenda mkuu, hayo mambo nimeeaachia ninyi vijana. 😂😂
dah hayo maneno mageni huku mkoani, labda tuwa ulize mshamba_hachekwi na Zulu man maana hawa ni wahuni wa dareslaam 🤣😆Umri ushaenda mkuu, hayo mambo nimeeaachia ninyi vijana. 😂😂
Hivi msambwanda ni mdudu gani?? Nasikia vijana wengi wakiimba, msambwanda, sijui mtaro.
Hivi basata bado hawajaifungia hiyo ngoma wakuu?wimbo unaimbwa "ooh toileti, mida ya kwenda toileti"[emoji706]
na mtu anasikiliza
Unanionea kabisadah hayo maneno mageni huku mkoani, labda tuwa ulize mshamba_hachekwi na Zulu man maana hawa ni wahuni wa dareslaam 🤣😆
Wajibu walau na sisi wazee tupate kwenda na wakatidah hayo maneno mageni huku mkoani, labda tuwa ulize mshamba_hachekwi na Zulu man maana hawa ni wahuni wa dareslaam 🤣😆
Vi Gn-Z ukipiga picha na gari kali umemchukua.Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.