Ila wakuu tuwe wakweli, maudhui mtandaoni yameharibika, yani ni makalio juu ya makalio kila kukicha. Matusi wazi wazi bila mafumbo

mimi ndo maana nimeamua kudelete kbs account za instgram na tiktok ni changamoto sana, na vijana wenzangu nawaasa bila kujitenga na hii mitandao hakika hakuna tutakapofika, hii mitandao ni kama mageti au milango ya ulevi na uzinzi, na dhambi zote, ndio nakili na nakubali kuwa kuna mafunzo mengi ila ni ngumu ku avoid haya ma uchafu
 
Misambwanda ina raha yake sanaaaa
Kama huyu mtandaoni anajiita ginah tz, actually na uzuri wa shepu yake, anajiuza, very sad mzabzab Mzee wa kupambania Lamomy Extrovert Mbaga Jr Extrovert DeepPond Eli Cohen Zeemadeit
Screenshot_20250108-182037.jpg
Screenshot_20250108-182149.jpg
 
Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.

Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.

Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?

Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.
Umekula dogo?
 
Inasikitisha sana, content creator mambo wanayofanya daah, sijui jamii yetu tunaipeleka wapi yaani
 
Hii kitu imenifanya ku uninstall social media apps zote kwenye simu yangu kasoro JF ndo niliyobaki nayo
 
Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.

Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti vinajibenua kila kona.

Yani kuna aina fulani hivi ya binti wa aina ya kimalaya kimalaya ndio anakuwa praised kila kona ya burudani, unategemea usione maajabu ya vibinti vya gen-z and gen-alpha kuwa mafundi wa anal sex.?

Vitoto vyetu vya kike unakuta kila mara vinaimba " ameloa, ameloa,", huku akiwa anawaangalia mabinti wenzake wakicheza na too bad kama akiwa ana akili kama panzi ndio hao mabinti wa TV wata mu-inspire kuishi ki-drama.
Na wewe umeliunga kwenye mnyororo huo huo kutokana na maudhui ya thread yako.
 
Back
Top Bottom