Kwako ni Bro kwangu ni Dad sasa utamuita nani baada ya kuchakaza nyasi?Twende kazi mjukuu, niko ๐ฅ kabisa!!
Usijali huyo ni braza, huwa tuna tabia ya kupigiana pasi๐
Kwako ni Bro kwangu ni Dad sasa utamuita nani baada ya kuchakaza nyasi?
JF has never bored meโ๏ธ
Una akili sana babu ๐Dad wa mchongo, ukikaa vibaya unawekwa๐ fanya chap tuendelee na zoezi letu, chaja itakata sio mda
Duuuuh hahaha
Jamaa anasubiri malipo kajenga daraja kwa nguvu zake..
Dah! Hili la kuitwa dad wa mchongo limeniuma sana๐ซ .. Hizi kunguni nilizosagiwa ni nyingi mno!๐๐๐ฟHaha, Mshana Jr umetoa mada ya msingi sana! Ni kweli kabisa, hata kwenye 'kuchill' bado tunaweza kuleta ubora wetu na kuandika vitu 'quality' kama ulivyosema.
Lakini pia, hizi pasi za 'Dad wa mchongo', 'babu' na 'mjukuu' ndio zinaleta uhai na kuifanya Chitchat iendelee kuwa sehemu tamu ya kupoza akili na kupunguza stress kweli kweli! Burudani iendelee, wadau! ๐ฅ
Nampa tahadhari ShesRise_1 maana dad wa mchongo ana lake jambo๐ ๐Kwahiyo ERoni unataka kusema...!?๐คView attachment 3574165
Babu upo makini mjukuu asiende kucheza kwa jirani๐Nampa tahadhari ShesRise_1 maana dad wa mchongo ana lake jambo๐ ๐
Dah! Bado tu unaendelea kunisagia kunguni mkuu wangu?๐Nampa tahadhari ShesRise_1 maana dad wa mchongo ana lake jambo๐ ๐