Ila wanangu Brazil ni sisi tulienjoy 2006 kurudi nyuma, hii ya sasa hivi ni mkusanyiko wa waimba singeli

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
20260706_005400.jpg
 
Norway wametumia akili sana kufanya execution ambayo ilimshinda mjapani
Hii timu bwana toka nione maajabu ya kale katimu kao kule uefa nikajua tuu world cup katasumbua maana ile timu majority walikuwa wazawa...sasa ongeza halland soloth na ordegard nsio balaaaa
 
Bodoe/Glimit hii imesaidia sana changanya na Brazil ambayo Kila mtu anacheza peke ake hakuna mfumo basi kazi ikawa rahisi zaidi
Halafu siasa za nchi kumuacha yule dogo wa Chelsea lazima karma iwatafune
 
Dhambi kubwa sana kumwacha Pedro
 
Back
Top Bottom