Ila wanangu Brazil ni sisi tulienjoy 2006 kurudi nyuma, hii ya sasa hivi ni mkusanyiko wa waimba singeli

Ila wanangu Brazil ni sisi tulienjoy 2006 kurudi nyuma, hii ya sasa hivi ni mkusanyiko wa waimba singeli

Kosa la kwanza la Brazil ni kumpa kazi huyo mzee,amechoka hana jipya
Ila pia nimejaribu kuona hiki kikosi kkilikuwa hakina chemistryy nzurii ila pia ancelloti apumzike sasa, hata fergie ilifika wakati akasema imetosha.
 
Kocha afukuzwe Real Madrid, wewe umchukue anoe kikosi cha timu ya taifa! Pumbavu kabisa.
Anamwita Neymar, Casemiro, Danilo, Endrick na kuwa first 11, akitegemea kushinda WC.
Ancelotti kawalia hela wabrazili za bure kabisa. 😁
 
Back
Top Bottom