Mapenzi ya dhati hawana.
Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa
utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie
loh
sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje?
Sio kwamba naponda mtu kuoa akiwa na watoto wa nje ila 9 tena mama tofauti?
Bado mke yupo leba kujifungua kaleta mwanamke mwingine ndani?
Sasa hapo daaaah si heri uishi peke yako jamani?
Hapo ni msaada au ni mzigo wa maisha?
Ee mungu ninusuru maana wa kwangu kaniambia ana binti mmoja isiwe ni kipa tu huyo wachezaji wapo uwanjani.