Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi ya dhati hawana.
Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa
utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie
loh
sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje?
Sio kwamba naponda mtu kuoa akiwa na watoto wa nje ila 9 tena mama tofauti?
Bado mke yupo leba kujifungua kaleta mwanamke mwingine ndani?
Sasa hapo daaaah si heri uishi peke yako jamani?
Hapo ni msaada au ni mzigo wa maisha?
Ee mungu ninusuru maana wa kwangu kaniambia ana binti mmoja isiwe ni kipa tu huyo wachezaji wapo uwanjani.
Lakini Canta mi sina hata wa kusingiziwa usihofu!
ah nyie wanawake mkiambia tule gud time tuu na msitutegemee kuwa gud husband mwakataa ...haya sasa ndio yawakuteni hayo