Ila wanaume ki ukweli wengi sio.( kwa wanawake tu)

Ila wanaume ki ukweli wengi sio.( kwa wanawake tu)

Mapenzi ya dhati hawana.
Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa
utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie
loh
sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje?
Sio kwamba naponda mtu kuoa akiwa na watoto wa nje ila 9 tena mama tofauti?
Bado mke yupo leba kujifungua kaleta mwanamke mwingine ndani?
Sasa hapo daaaah si heri uishi peke yako jamani?
Hapo ni msaada au ni mzigo wa maisha?
Ee mungu ninusuru maana wa kwangu kaniambia ana binti mmoja isiwe ni kipa tu huyo wachezaji wapo uwanjani.

Pole sana Smile,

Hawa binadamu bado tuko wa species nyingi...Pole sana kama umekutana na ile ambayo iko karibu sana na kule walikotoka mababu zetu!!!!
 
atawahudumia wote kweli? Halafu utakuta hana kazi au ana kipato cha chini kabisa
 
Lakini Canta mi sina hata wa kusingiziwa usihofu!

Dah!mshukuru mungu kwa hilo!kwan utakua umepunguza vizingiti,nackiaga huwa kuna kukumbukia na mzazi mwenzio unapopeleka matumizi ya mtoto lol!
 
dah, pole yake . hilo ni fundisho kwetu kwamba inatakiwa mtu uumchunguze sana kabla haujaamua kuwa nae as husband/wife
 
Back
Top Bottom