Ila wanawake: Ananilaumu kila siku sijawahi kumtoa out wala kula hata 50 yangu wakati sisi ni washkaji tu!

Mkuu huu ni ushauri au ni michambo
 
Haujajua huo ni mtego wa mwanamke, wao ili kupata waalazimisha upay attetion kwao tuu, huku wakiamini ukiwanaye muda mwingi hautaona kwinginena ipo siku utampa penzi tuuu na atakushika masikio kama wale wanaosemaga nimemuweka HAPA
Kwahiyo huo mtego ni kwa ajili ya kupata nini?
 
Kwa hiyo ulitoana nae huko kwenye kisinia eeeeh☺️😂😂😂
 
Unanitia aibu sana man!

Huelewi nini SASA hapo!?au unataka aanze kukuchukia HADI akumwagie majimoto!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…