Ila wanawake: Ananilaumu kila siku sijawahi kumtoa out wala kula hata 50 yangu wakati sisi ni washkaji tu!

Kwani mkuu wewe ni punga?mi nikadhani unaomba ushauri umechomeka umeshindwa kuchomoa,yaani umetuaibisha sana MKuu manzi Hadi akaamua kukupa stori za dildo it means alikuona wewe ni kama dildo tu.
Siku nyingine use that useless appendage usefully,Asante.
Mkuu huu ni ushauri au ni michambo
 
Haujajua huo ni mtego wa mwanamke, wao ili kupata waalazimisha upay attetion kwao tuu, huku wakiamini ukiwanaye muda mwingi hautaona kwinginena ipo siku utampa penzi tuuu na atakushika masikio kama wale wanaosemaga nimemuweka HAPA
Kwahiyo huo mtego ni kwa ajili ya kupata nini?
 
Wakuu najua mpo wazima wacha niende kwenye point moja kwa moja.

Kuna group moja huko watsup la kuhusu mambo ya kijamii na kula bata na 90% wanawake ndio wengi bac kuna siku tulikutana member kwa ajili ya misosi bac tukafahamiana na mdada yupo humo anaofisi jirani na mitaa yangu.

Siku moja akanipigia simu kuwa anataka kuhamia huku jirani na ofisi yake ili apunguze gharama za nauli nikamwambia usijali kuna madalali wanangu ntawachek bac mwanaume nikaingia mtaa nikachek na madalali tukapata room mtoto akahamia hapo ni jirani sana na makazi yangu bac life likaenda fresh.

Tukawa tunachat tu kawaida dem ni mzr but sikuwa na shobo nae ila cha kushangaza huyo dem amekuwa mtu wa kulalama kila siku kuwa mimi ni mbahili kwamba toka ahamie kitaani kwangu ajawahi kula hata 50 yangu na sijawahi kumtoa out wakati tupo majirani.
jinsi anavyoongea ni kama utani ila najua anamaanisha. Maana imekuwa ndio kauli zake kila uchwao.

Mpaka huwa natamani kumuuliza kwani huna mpenz mpaka uanze kulia namimi kila siku. Kukweli huyu mdada ananishangaza sana

Na huwa yupo tayari nimtoe out muda wowote na siku yoyote hata iwe usiku mkali huwa apingi nimimi tu ndio huwa nampuuza. Na akijua nimeenda kiwanja bila kumwambia bac atanitumia furushi la lawama.

Juzi kati kanipigia simu et kuwa ana njaa nikamfata kwake nikampeleka lounge kaagiza kitimoto bac muda huo anakula kakaanza kunipigisha stori za dildo mara punyeto nikawa nakaangalia tu kakamaliza nikakarudisha kwake.

Kwa mambo haya nyinyi wanawake sometime mnafosi tu kupigwa miti hata kama mtu hakuwa na mpango, mtu sio mpenz wako ni ushkaji tu but unafosi upewe hela na kutolewa out kama sio kutafuta rungu ni nini??
Na mimi pesa zangu huwa aziliwi kizembe hivo kisa utelezi ila kwa hili lazima huyu mchaga nimpelekee moto
Kwa hiyo ulitoana nae huko kwenye kisinia eeeeh☺️😂😂😂
 
Unanitia aibu sana man!

Huelewi nini SASA hapo!?au unataka aanze kukuchukia HADI akumwagie majimoto!!?
 
Back
Top Bottom