Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
-
- #61
Yes mkuu sikuwa na haja ya kumgonga kwa siku hiyoAkala ukamrudisha kwake???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes, Kuna muda wanawaonea tu dada zangu wa northern[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio sisi tuliowaumiza, hata hivyo wapone salama.
Niumizwe na said nimjumlishe na Juma?
Sawa mkuu nitajiongeza this weekendUnanitia aibu sana man!
Huelewi nini SASA hapo!?au unataka aanze kukuchukia HADI akumwagie majimoto!!?
Mkuu sio kila shimo ni la kuingia kwa harakaInabidi ukikate hicho kitendea kazi ukitupe kabisa
Yes mkuuKwa hiyo ulitoana nae huko kwenye kisinia eeeehβΊοΈπππ
Aisee.......Mkuu kwanza atujamaliza mazungumzo yetu ya dynasty unasema ulinunua wali samaki kwa 30kπ³
Kumbe mmeshajihalalisha kila mkitolewa out ni lazima mliweKoo umemtoa out,ukalipia na mzigo hujala
Unakuja huku kulalamika JF
Poor you
Mkuu wanawake sometime wanakuwa kama na mapepo mfano kama huyu atujawah kuwa hata na mahusianoKuna wanawake wanavurugu sana mmoja wapo ni huyo wako wewe endelea kumzoom tuu cheza na saikolojia yae mpaka atulie.
Ila pia kumbuka kuna hawa wengine tunaoangukia sisi wanaume wezenu ya unakutana na wanawake ukiwaomba hata namba za simu ile mnaongea kwa mara ya kwanza anakupeleka mbio mbio unaona hakajatulia kabisa unabaki kumsikiliza tuu yani sijui wapoje
HahahahaToa pesa wewe acha kutafuta huruma Jf
πMkuu,
Mie sina shida na lawama zako ulizowatupia wadada,
Lakini je, kulikuwa na ulazima wowote wa kutaja neno 'mchaga'..??
ππππ
Sasa kama ni "mchaga" hutaki aseme..?
Issue ni kujikubali tu, kama yule mzee wa ma-unyamwezi π.πππ
Hivyo kila mtoa thread humu ndani aanze kutaja kabila la muhusika wa story yake, si litakuwa jumba la makumbusho..??
πππIssue ni kujikubali tu, kama yule mzee wa ma-unyamwezi π.
πππ
Wewe utakubali ile ya kupenda PP..??
π€π€¨Aijalishi ila mwanamke ni mwanamke over
πππ
Kabla sijakujibu , nipe pocpoc kwanza.