Ila wanawake: Ananilaumu kila siku sijawahi kumtoa out wala kula hata 50 yangu wakati sisi ni washkaji tu!

Kuna wanawake wanavurugu sana mmoja wapo ni huyo wako wewe endelea kumzoom tuu cheza na saikolojia yae mpaka atulie.

Ila pia kumbuka kuna hawa wengine tunaoangukia sisi wanaume wezenu ya unakutana na wanawake ukiwaomba hata namba za simu ile mnaongea kwa mara ya kwanza anakupeleka mbio mbio unaona hakajatulia kabisa unabaki kumsikiliza tuu yani sijui wapoje
 
Mkuu wanawake sometime wanakuwa kama na mapepo mfano kama huyu atujawah kuwa hata na mahusiano
 
😂😂😂
Hivyo kila mtoa thread humu ndani aanze kutaja kabila la muhusika wa story yake, si litakuwa jumba la makumbusho..??
Issue ni kujikubali tu, kama yule mzee wa ma-unyamwezi 😄.
 
Back
Top Bottom