GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Iko wapi hiyo clip?Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata Kuyaacha kwa Watoto wa Pwani hapa mmenielewa vyema tu najua.
Aliyetengeza hiyo Clip ni Mbunifu mno kwani hata kama una Stress zako ukiiangalia tu zitaisha kwa Kucheka.
Clip iko wapi?
Lamasimba tayari didy alishapasua spika.
Ila P diddy noma sanaView attachment 3109119
Hiyo hapo. Bosi wake sinza pazuri alivyokuwa anaingia chumbani kwa diddy katika pozi.
ila iyo mm nakataa kwadai uongClip iko wapi?
Lamasimba tayari didy alishapasua spika.
Kwanini unakataa ?ila iyo mm nakataa kwadai uong
inasemekana ili upate tuzo ya gram lazima uyo bwana akupitie ila mond hajachukua iyo tuzoKwanini unakataa ?
Kwahiyo hata wale mapasta wana grammy?inasemekana ili upate tuzo ya gram lazima uyo bwana akupitie ila mond hajachukua iyo tuzo
Kwahiyo hata wale mapasta wana grammy?
Yaani hii skendo ya pididi ndo ifanye jamaa apotee??naona anguko la daimond anaweza kujituliza na dawa na pombe kwa wingi...au akubali kuwa nawanasaikolojia na wamuzuie kusikia hayo mambo ya didi la sivyo itamlamba hii skendo... hivi ccm mtamtumia tena kwenye kampeni zenu...oil seal ishakata shanga....
Yani hii skendo ndogo ivi ndio imshushe mtu...Kuwa serious Braza ingekuwa na yeye anatuhumiwa akawekwa lupango sawanaona anguko la daimond anaweza kujituliza na dawa na pombe kwa wingi...au akubali kuwa nawanasaikolojia na wamuzuie kusikia hayo mambo ya didi la sivyo itamlamba hii skendo... hivi ccm mtamtumia tena kwenye kampeni zenu...oil seal ishakata shanga....
Utani upo ndio, Lakini utani wa kutaniwa umeliwa kiboga sio utani mzuri kwa mwanaume yeyote mwenye akili timamu.Yaani hii skendo ya pididi ndo ifanye jamaa apotee??
Kua serious basi, hata kama ni hater wa jamaa ila hii skendo haiko serious kiivo zaidi ya utani mwingi.