Ila Watanzania bhana.....Nimecheka sana na sijui huwa mnawaza nini

Ila Watanzania bhana.....Nimecheka sana na sijui huwa mnawaza nini

Hvi vipi kama hii ni sehemu ya mission ya huyu didy kueneza habari za huu ufirauni duniani kote mana nimepata simu kadhaa kutoka kijijini naulizwa eti p didy kafanya nini kiasi kwamba naona habari yake imetrend sana duniani

Haya mambo ya ushoga kadri yanavyopewa headlines ndo yanazidi kukua na kuonekana ni ya kawaida kuna mabwege yatajiingiza huko kwamba kama burnaboy kafanyiwa wao ni kina nani tupunguze nafasi ya vitu negativu kwenye dunia yani kila siku taarfa za kutrend ni vita kulawiti mauaji lkn ikitokea mtu kasaidia wasiojiweza sio stori mtu akijitolea kupanda miti 10000 kutunza mazingira wala sio stori
 
Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata Kuyaacha kwa Watoto wa Pwani hapa mmenielewa vyema tu najua.

Aliyetengeza hiyo Clip ni Mbunifu mno kwani hata kama una Stress zako ukiiangalia tu zitaisha kwa Kucheka.
Kwa hiyo msanii na Mbunge wa mama wameukweka kwa pdiddy?
 
Utani upo ndio, Lakini utani wa kutaniwa umeliwa kiboga sio utani mzuri kwa mwanaume yeyote mwenye akili timamu.

Mwanaume yeyote mtanie kote, ila maswala ya kutaniwa umeliwa kiboga. Hakuna anayetaka utani wa namna hii.

Hakuna mwanaume yeyote mwenye utimamu anafurahia utani wa namna hii ama ku uendekeza.

Utani wa namna hii unaweza kumfanya Mond awachukie watanzania sana.
Umeshaona msanii mwenye akili😎
Mwenzio anaona anatrend which is a big deal kwake
 
inasemekana ili upate tuzo ya gram lazima uyo bwana akupitie ila mond hajachukua iyo tuzo

yawezekana muda ulikuwa haujafika tu ila tayari alishaingia kwene foleni, ila sasa mambo ndio yashavurugika, amefrka bure
 
Yaani hii skendo ya pididi ndo ifanye jamaa apotee??
Kua serious basi, hata kama ni hater wa jamaa ila hii skendo haiko serious kiivo Ani ya utani mwingi.
Upo sawa kwa upande fulani,ila ukae ukijua video za matendo machafu ya Pdidy zikianza kuvujishwa huo utani unaouongelea hautakuwepo,mambo pitiwa serious,wachunguzi wa mambo wanabaini kwamba kuna video zaidi ya 1000,na kibaya zaidi kuna watu siwezi kuwataja wanataka kuivunja na kuiangusha empire ya wanamuziki weusi kwa kutumia hii scandle ya P diddy,suala la kujua a inev hakupitiwa na Diddy na nani hakupitiwa ni mda utakaoongea pindi video zitakapo wekwa wazi,miamba mingi ya muziki na entertainment kwa ujumla itaanguka kwa kishindo kikubwa,huo utakuwa ni ushindi kwa watu hao wa upande wa pili,walianza na R Kelly sasa hivi Diddy na wengine wengi wapo wamenasa ndani ya mtego wa Diddy.
 
Hizo ni story za kufikirika na hamna kitu kama hicho..

Marekani sio wajinga ati waangushe mziki wa watu weusi then what?? Mi ninachoona ni kua wanawatumia kwenye mambo yao, wakimalizana wanachoma kama hivo ila sio eti ni juhudi za kuua mziki wa watu weusi, hawawezi hiyo kitu.

Na hizo video sahau, haziwezi kutoka.

Na kesi ya diddy haipo concerned na kuwapididi kina mondi na kina burnaboy ambao ni watu wazima kabisa ila wale aliowapididi wakati bado watoto na makesi yake mengine.

Kupost hadharani video ati akiwapididi kina mondi ni kuingilia faragha za watu wengine na wao wapenda upinde hawawezi fanya huo ujinga.
 
Utani upo ndio, Lakini utani wa kutaniwa umeliwa kiboga sio utani mzuri kwa mwanaume yeyote mwenye akili timamu.

Mwanaume yeyote mtanie kote, ila maswala ya kutaniwa umeliwa kiboga. Hakuna anayetaka utani wa namna hii.

Hakuna mwanaume yeyote mwenye utimamu anafurahia utani wa namna hii ama ku uendekeza.

Utani wa namna hii unaweza kumfanya Mond awachukie watanzania sana.
Mzee mondi hajaanza leo kuhusishwa na hizo mbanga na si ajabu kwake sio utani bali anafanya kweli.

Kuna yule model wake ni punga kabisaa na hadi kwenye party zake mapunga huwa ni wa kumwaga, sasa huyo mtu ni wa kumtania analiwa kiboga afu iathiri kazi zake??
 
Duuh! Noma sana
 
Back
Top Bottom